Nishati na madini Count down: Maamuzi mazito yanakuja

Changanya na hii:

Tunataka Gold itunufaishe. Hizi opportunities tsizikilize tu kwenye bomba, ni za kweli. Hata mfumuko wa bei ya mafuta umebadilisha kabisa Middle East. Kwa nini tushindwe kutumia resources zetu kama Gold?
Nawasilisha:

Destitute and yet we have lots of resources. Read this:-
•Gold prices rallied to record highs above $1,600 an ounce in Europe on Monday as investors spooked by the euro zone debt crisis and the threat of a U.S. default bought into the metal as a haven from risk.

•Data from U.S. futures regulator the Commodity Futures Trading Commission showed on Friday that managed money sharply raised bullish bets in U.S. gold futures and options in the week ended July 12 as bullion prices rallied.

•Stock markets fell in Europe as bank stocks came under pressure after capital stress tests failed to dispel fears about the regional debt crisis.

"The stress test result was met with a lukewarm response with focus again switching back to Europe. When that happens gold is often allowed to perform despite the dollar strengthening at the same time," said Hansen.
Sovereign default fears are growing in both Europe and the United States. The United States is struggling with deficit reduction talks ahead of the White House's July 22 deadline on a deal to raise the $14.3 trillion debt ceiling.

On the foreign exchange markets, the euro slid 0.8 percent against the dollar. Sovereign debt worries led investors to shift funds into safe-haven currencies like the Swiss franc and cut exposure to riskier assets.

Gold rallied across a number of major currencies, also hitting record highs in euro, sterling, South African rand and Canadian dollar terms.
"Investors are increasingly looking to gold as a safe haven as the U.S. dollar, pound sterling and the euro continue to devalue against stronger currencies such as those of Canada, Australia, Norway and Switzerland,"
Source: Reuters

MY TAKE: In year 2008 Tanzania produced 36,000 kilograms whereas in year 2009 Tanzania produced 40,000 kilograms of gold. Holding constant the production level of 2009 to reflect the production during the financial year 2011/12, one notes that we will produce 40,000 kilograms of gold worth US $ million 2,058 (at US $ 1,600 per ounce). Our 2011/12 budget as presented by Hon Mkulo was worth Tshs 13,525,895 million about US $ 8,454 million at US $ 1= 1600 Tshs. These calculations show that our annual gold production is worth 24.3 % of our annual budget in foreign currency. This scenario reminds me of an old political rallying cry that was then famous in East Africa : "Uchumi tunao, lakini tunaukalia!!!
 
MEN LIE , WOMEN LIE...NUMBERS DONT LIE

MALAYSIA:

POPULATION: 28 million
ELECTRICITY CAPACITY (AVAILABLE) : 21,000 MEGAWATTS

TANZANIA:

POPULATION: 45 million

ELECTRICITY CAPACITY:(AVAILABLE) 3,500 MEGAWATTS
 
Jamani twende mbele turudi nyuma: Mimi binafsi nachukia sana nchi kuwa gizani lakini mbona Ngeleja anakuwa mbuzi wa kafara? Hivi kosa la Ngeleja ni lipi? Ni kwamba hashauri vizuri au ni kwamba nchi haina pesa za kuwekeza kwenye umeme? Hivi hili ni suala la Ngeleja binafsi au ni suala la Serikali nzima?
Aachiwe Huru Liyumba lakini Ngeleja Afukuzwe na Kutaifishwa kwa Kutuwekea Historia ya Mgao wa Giza Tanzania...
 
Taarifa zisizo rasmi kutoka chanzo chetu cha Uhakika mjini Dodoma zinatuaarifu ya kuwa mjadala wa kuinusuru Bajeti ya Wizara ya Nishati na Madini bado wajumbe wanakinzana kwa lipi hasa liwe azimio la jumla.Kundi moja linaafiki kufumba macho kupitisha Bajeti hiyo kwa mabadilishano na Nafasi ya Ngeleja, Yaani Ondoka tupitishe Bajeti yako. Walau ukijiuzuru tutapoza hasira za watanzania.Upande mwingine haukubaliani na Njia hii Mbadala ukiendelea kushikilia msimamo wa kutounga mkono Bajeti hiyo. Hatari ya kutopita kwa Bajeti ni kuvunjwa kwa Kikao cha Bunge linaloendelea kwa Mujibu wa Kanuni na kuandaliwa Bajeti mpya. Jambo ambalo kundi la awali linalitazama kama litakuwa matumizi mabaya ya fedha katika kipindi hiki ambacho Uchumi wa Taifa unazidi kudorora.Yote haya yanaendelea huku shauku kubwa ya watanzania ni kuona nishati ya Umeme wa Uhakika unapatikana.Tunapanga silaha zote mapema kufuatilia Mjadala LIVE kutoka Mjengoni.Stay OnlineADIOS
mkuu pamoja na kuwa ulichokieleza sicho kilichotokea mjengoni lakini nionavyo mimi wizara hii itaendelea kupata kashkash kwa sababu haiko independent. Imekaa kisiasa sana. Na kwa hali hiyo itaendelea kupata misuko hata kama Marehemu Muhamad atafufuka leo na kuiongoza hiyo wizara
 
Aaah yaani hujagundua tu hapa kuwa upende wa pili ndio umeshinda katika mvutano huo maana ulikuwa na theluthi mbili ya wabunge wa CCM. Kwa hiyo kitaratibu haikuwa rahisi Waziri kuibwaga Wizara kwa Bajeti aliyoiwakilisha yeye mpaka aimalize kama ndo kuenguliwa yafuate hayo sasa.

Hilo litakuwaje? Njoo na Plan B kisha tuitazame kabla ya kukata shauri kwa asilimia 100. Hicho ndicho kilichotokea, Ulitegemea kuvujishwa kila kitu?
 
Nawachukia sana wale wasiotaka pawepo na mabadiliko. Andikeni vitu vya maana hapa. Mnamtetea ngeleja ni nani wenu? Mnasema bajeti itapita mmeisuka nyie? Nyambaf! Kuweni angalau na wazo moja ni jinsi gani ngeleja atoke, vipengele gani virekebishwe ama kina nani wawajibishwe.
 
Ngeleja pole sana ila ulitakiwa uzingatie integrity and honest ukiwa km kiongozi wa wizara, haiwezekani Katibu adanganye na useme hayo ni makosa ya kibanadamu, Masuala haya ya kudeposit 50 million unayaelewa kabisa, mimi naona upige chini tu mzigo ngosha mwenzangu huna jipya kama Karamagi, Msabaha na wengine wengi waliopita kwenye hiyo wizara.
 
Umenigusa sana kamanda, NGOSHA kikwetu maana yake ni Kijana Jasiri, Askari, Mwanaume Rijali mwenye hekima na nguvu, kiongozi shupavu: Sasa mimi naunga mkono hoja kwamba ki mila huu jamaa amepoteza haya yote niliyoyataja:

Kinachotakiwa kufanya:

Ateme mzigo fasta, arudi akaombe radhi wazee wa mila ili wamrudishie hizi credits alizozipoteza, ingawa nina uhakika lazima atoe kafara na fine juu:

Pole sana Ngeleja.
 
Ngeleja pole sana ila ulitakiwa uzingatie integrity and honest ukiwa km kiongozi wa wizara, haiwezekani Katibu adanganye na useme hayo ni makosa ya kibanadamu, Masuala haya ya kudeposit 50 million unayaelewa kabisa, mimi naona upige chini tu mzigo ngosha mwenzangu huna jipya kama Karamagi, Msabaha na wengine wengi waliopita kwenye hiyo wizara.

Katika hali ya kawaida Katibu Mkuu ambaye hata Waziri akijiuzuru au kufukuzwa Nafasi yake bado inakuwepo intact alikuwa na haja gani ya kuhofia Bajeti kama hakutumwa na Waziri au Bosi wake. Hizi ndio siasa Uchwara waondoke wote na si kuondoka tu TAKUKURU wafanye kazi yao na Hatua za kinidhamu zichukuliwe
 
#mulikamwizi.. JM akipewa hiyo nafasi,kashfa zitawekwa hadharani..atanyanyasika sana na kashfa zake..akiwa na busara..anye aondoke tu..$2m za barrick zimemtosha..sjajaua mgao wake ulikua vipi..abaki mbunge tu..apunguze machachari..#nakulakamazk
 
The Redkop, sidhani kama ndo solution, let him play the game but he has to be smarter than anyone. Whistle blowing is the solution, akomae zaidi najua hata Ndigi Makamba atakuwa anasaidia umafia. Lets wait and see.
 
JM!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Wait and see
 
Kwa ccm kuonesha (walau kama gesture) kutambua tatizo la umeme ni vizuri kwanza wamtose Ngeleja! Hakuna mtu mwenye imani na huyu Waziri.

Kwa wanaojua, nini kitatokea kama bajeti ya Wizara itakataliwa?

hahahhahahah hapa ni mvutando kati ya magamba 3 na joka lenyewe, kila mtu anajua magamba matatu ndo yalikuwa yanasaidia nyoka iweze kupita katika moto mkali, sasa moja limechomoka ndo unaona moto unavyuunguza tunasubiri siku 90...
kwa Ngeleja ni warning tuuuuuuuu........
 
Takukuru watakuambia kamati imeundwa baada ya siku 90 watakuambia hakukuwa na ushaidi wa kutosha...
 
Kutokana ya yaliyojiri jana bungeni nilitegemea TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) ingekuwa tayari imeshapandisha watu kizimbani kutokana na tuhuma zinazoikabili wizara ya nishati na madini, lakini cha ajabu au ndio utaratibu wao wa utendaji kazi hawaoni kuwa hili jambo linawahusu.

Au kazi yao kubwa ni kuwasafisha watu kutokana na shutuma za rushwa zinazoelekezwa kwao tofauti na dhumuni la kuanzishwa kwa taasisi hiyo.

Ebu badilikeni ili kujijengea uaminifu kwa wananchi na kuwaondolea dhana kuwa mpo kwa ajili ya kunyanyasa wananchi na watendaji wa hali ya chini

JoJiPoJi

Katika hali ya kawaida Katibu Mkuu ambaye hata Waziri akijiuzuru au kufukuzwa Nafasi yake bado inakuwepo intact alikuwa na haja gani ya kuhofia Bajeti kama hakutumwa na Waziri au Bosi wake. Hizi ndio siasa Uchwara waondoke wote na si kuondoka tu TAKUKURU wafanye kazi yao na Hatua za kinidhamu zichukuliwe

Kwa hili jamani inabidi wizara itakaswe!! Waziri, Naibu Waziri, Katibu Mkuu inabidi wote waondoke tena mara moja!! Hakuna kitu kama hicho kinachoweza kufanyika bila wakubwa hao wa wizara kufahamu!! Masikini Ngeleja
 
ukweli bila kujali nini na nani! serikali iwajibike kwa asilimia 100%, Ngeleja peke yake akijiuzuru (resign) atasaidia wengine kuwa nini wananchi wanamaanisha. ukweli hata rais na taaisi zote zinahusika moja kwa moja na hilo la umeme. Ngeleja aanze wengine wafuatie, tunaujua msururu wote
 
Ndugu wanajamii,

Wizara hii ni wizara nyeti sana katika kuleta maendeleo ya taifa letu. Hilo liko wazi. Hoja ya wizara hii sote tumeshuhudia ilivyopingwa kwa nguvu zote bungeni. Unapoona hoja inapingwa kiasi kile tena na wabunge wa chama tawala (ambao wengi wao huwa wanaongea pumba tu bungeni), ujue kuna ushuzi kwenye utendaji wa wizara husika.

Tumeona madudu yanayoendelea kwenye wizara hii. Naamini ni sahihi kusema kuwa safu nzima ya wizara hii imejaa uozo mtupu. Inanuka! Hawa watu wametuibia watanzania kwa muda mrefu sana. Kodi zetu wanalia bata tu. Bata mzinga, mnene si kidogo! Ufisadi unaohusishwa na wizara hii unadhihirisha kuwa Ngeleja na wenzie wapo pale kama "Joyce wowowo", kuna watu au kikundi cha watu "wanawachezesha" sio bure. Sasa picha imeungua. Starring hafi leo?

William Mganga Ngeleja, Adam Kighoma Ali Malima na sasa katibu mkuu wao David Kitundu Jairo hawa ni mashati tu. Wapo pale kuuza sura. Disposables! Kuna wenzao ambao tutaanza kuwajua siku za usoni. Hawa watu wanafanya biashara nzuri kweli kweli pale wizarani! Kuna wengine ambao ni hatari zaidi. Majini wa nyuma ya pazia. Majini wana nguvu sana. Lakini majini wote hawa na mashati yao, hawauwezi mziki wa wananchi wa Tanzania ambao hawana la kufanya maana mgao umeua biashara zao. Wakazi wale wa pembezoni mwa migodi je? Mziki mnene sana huu.

Swali: Je, tuendelee kusubiri tuone usanii wa serikali kuhusu hatua watakazochukua dhidi ya hawa wezi, au wananchi tuingie mtaani tukawakamate tuwasulubishe? Una maoni ya tofauti? Yapi?

PS: Mnaukumbuka taarifa za uongo David Jairo alizompa Janga la Kitaifa (JK) kuhusu Kiwira? Soma hapa.
 
Nilikuwa naangalia BBC asubuhi, imetangazwa kuwa waziri mkuu wa Uingereza, bwana David Cameroon amefupisha ziara yake barani Africa kwa sababu ya Phone Hacking Scandal nchini kwake. Hapa kwetu mbali na kutokea scandal ya rushwa, shida kubwa ya umeme na ukosefu wa ajira, ni sababu tosha ya kumfanya rais atulie nchini. Lakini Rais wetu anaendelea kula bata kwa madiba pamoja na scandal ya rushwa na bajeti ya umeme kukataliwa. TIA-This Is Africa, na Africa Bora Izame.
 
Back
Top Bottom