Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,476
- 39,995
Shemeji yenu mkubwa ni alumnus wa MSU, so hizo kelele nyumbani si utani; timu pinzani Connecticut ina Hasheem THE BEAT! mbongo mwenzangu na kijana anayepepea bendera ya bongo vizuri kwenye NCAA na michezo kwa ujumla hapa US..
Timu hizo mbili kesho zinacheza; yeyote atakayepoteza kutakuwa na kahuzuni nyumbani.. sasa ili kuwa salama na kuhakikishiwa "kula" for the next year nishangilie MSU au ndiyo nioneshe uzalendo!!? nimetingwa hapa au niwe mgonjwa nishangilie kimoyo moyo...