Mawardat
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 25,900
- 136,567
Tafuta utapatagašKwanini isiwe
Kweli mkuu
Tafuta utapatagašKwanini isiwe
Kweli mkuu
Huu ni utani wa ngumi sasa šKama umeshindwa kuoa basi olewa mkuu.
Sio kukata tamaa sema tu nimeshindwa kuoa
Usiogope mambo ni kujaribu.
Samahani ndugu, najua nimekukwaza ila najaribu kufikiria tofauti
Vuta subira utapata wa kufanana nawe.Mbona sijapewa?
Mbali ya hayo pia awe anajielewa na hofu ya MUNGU iwepo ndani yake.hapana usikate tamaa, kitu kikubwa cha kuzingatia kabla hujaoa mwanamke ni hivi:
1) awe amelelewa na wazazi wote 2
2) awe anamheshimu mzee wake
ivi ndo vitu pekee unatakiwa kuzingatia kabla hujaoa vingine nyongeza
Pole, ila usivunjike moyo, kaa tulia muombe Mungu. Imani yako isife kwa sababu ya uliyokutana nayo.Nime give up kabisa nakuoa na nimekuja kuamini ndoa siyo ya kila mtu aisee yaani kila nikitafuta mke wa kuoa nakosa naambulia hawa wanawake wasioeleweka kabisa
Ndoa siyo ya kila mtu aisee yaani nakaribia third floor halafu sioni dalili yoyote ile ya kupata mke kabisa aisee
Uko njia sahihiPole sana , sisi tuna kunywa bia tuš
Sip kweliUko njia sahihi
Hiyo ndo kweli na haki, usiache pombe mkuu.Sip kweli
Mpaka iniueHiyo ndo kweli na haki, usiache pombe mkuu.
Kwamba usipokunywa hufi ?Mpaka iniue
InawezekanaKwamba usipokunywa hufi ?
Mpk sahv kama unakunywa we ni mojawapo yq binadamu wachache wenye furaha duniani, ila marufuku kunywa kisa shida.Inawezekana
Hii nakubali sanaMpk sahv kama unakunywa we ni mojawapo yq binadamu wachache wenye furaha duniani, ila marufuku kunywa kisa shida.
sasa unajua ivo ni ngumu kuvithibitisha ila vya malezi ni rahisi, huu ndo msingi wa mwanamke boraMbali ya hayo pia awe anajielewa na hofu ya MUNGU iwepo ndani yake.
Usiache kunywa pombeHii nakubali sana
Unakutana na Vibwengu tuNdoa siyo ya kila mtu aisee yaani nakaribia third floor halafu sioni dalili yoyote ile ya kupata mke kabisa aisee
Inashangaza sanaMmmh hvi n kwel mnakosa wanawke wa kuoa