KyemanaMugaza
JF-Expert Member
- Jan 7, 2025
- 274
- 424
Kyoma mbona uliwahi sana hivyo, mi nina 41 nikifikisha 45 ndo nianze kuwa na wazo la kuoaUsikate tamaa mkuu mi mwenyewe nilioa nikiwa na 29 yrs
Kyoma mbona uliwahi sana hivyo, mi nina 41 nikifikisha 45 ndo nianze kuwa na wazo la kuoaUsikate tamaa mkuu mi mwenyewe nilioa nikiwa na 29 yrs
chukua hao wasioeleweka halafu utamfanyia transformation, kwa sababu hao wanaoeleweka ndani ya ndoa anaweza akakuletea MAUZAUZA, au jiunge na kanisa la Mwamposa kuna wanawake wengi wanenda kuombewa waolewe, na huwa ni PISI za kueleweka sanaNime give up kabisa nakuoa na nimekuja kuamini ndoa siyo ya kila mtu aisee yaani kila nikitafuta mke wa kuoa nakosa naambulia hawa wanawake wasioeleweka kabisa
Ndoa siyo ya kila mtu aisee yaani nakaribia third floor halafu sioni dalili yoyote ile ya kupata mke kabisa aisee
utakuwa umetisha mzeeKyoma mbona uliwahi sana hivyo, mi nina 41 nikifikisha 45 ndo nianze kuwa na wazo la kuoa