Nishakata tamaa na kuoa


Utapewa wa kufanana nawe.
 
Shida
Shida ni hapo kwenye kutafuta kiongozi...
 
Usikate tamaa bado wakati wako mkuu.
 
Kuwa makini
Usije ukaamua kuolewa
 


NDOA ni taasisi mama hivyo inahitaji watu wazima, Sio watu wazima wa umri Bali watu waliokomaa kiakili


Hitaji mama kwa mwanamke kutoka kwa mwanaume ni Akili na siyo vitu B'se mwanamke asili yake ni multiplayer (mzidishaji) hivyo anahitaji mbegu tu ili azidishe


Mwanaume ukikosa akili kamwe hawezi kuishi na kiumbe kinachoitwa mwanamke, kitakufisha na kukuangusha kwani kina nishati kali sana
 
Utapata tu, mi nilikuwa kama wewe ila ghafla bin vuu katika sehemu ambako hata sikutarajia nikapata mali🤣🔥🔥🔥


As long as bado upo hai na una nia thabiti, we mwombe Mungu tu naye atakustaajabisha kwa majibu yake
 
Kama Vipi join the chain 😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…