Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,331
- 33,141
Na Erick Evarist
Siku chache baada ya msanii wa filamu Bongo, Salma Jabu Nisha kutangaza kuwa hajawahi kuduu na mwanaume tangu azaliwe, baadhi ya wadau wamemchana wakieleza kuwa, ameongea pumba.
Wakizungumza na Ijumaa katika nyakati tofauti baadhi ya watu hao walisema kuwa, wapo watu wanaoweza kusimama na kusema ni bikira lakini siyo Nisha.
Eti bado ana usichana wake, huko si kutudanganya wazi wazi? Labda atuambie hao wanaume ambao tunajua amekuwa akitembea nao amekuwa akiwaridhisha kwa njia gani, alisema Salum wa Kariakoo.
Naye Janeth wa Mtoni Kwa Aziz Ally alisema kuwa, Nisha asitake kuwafanya mashabiki wake ni watoto kwani wanajua kwa umri wake na staili ya maisha yake hawezi kuwa bikira.
Akizungumza na Ijumaa kuhusu kuchanwa huko, Nisha alisema anasisitiza kuwa hajaguswa bado na kama kuna mwanaume aliyewahi kumuingiza kwenye ulimwegu wa mapenzi ajitokeze.