Nisha 'achanwa' vibaya

Nisha 'achanwa' vibaya

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,077
Reaction score
34,850
BACKIJUMAA7.jpg
3.jpg




Na Erick Evarist

Siku chache baada ya msanii wa filamu Bongo, Salma Jabu ‘Nisha’ kutangaza kuwa hajawahi ‘kuduu’ na mwanaume tangu azaliwe, baadhi ya wadau wamemchana wakieleza kuwa, ameongea pumba.

Wakizungumza na Ijumaa katika nyakati tofauti baadhi ya watu hao walisema kuwa, wapo watu wanaoweza kusimama na kusema ni bikira lakini siyo Nisha.

“Eti bado ana usichana wake, huko si kutudanganya wazi wazi? Labda atuambie hao wanaume ambao tunajua amekuwa akitembea nao amekuwa akiwaridhisha kwa njia gani,” alisema Salum wa Kariakoo.

Naye Janeth wa Mtoni Kwa Aziz Ally alisema kuwa, Nisha asitake kuwafanya mashabiki wake ni watoto kwani wanajua kwa umri wake na staili ya maisha yake hawezi kuwa bikira.

Akizungumza na Ijumaa kuhusu kuchanwa huko, Nisha alisema anasisitiza kuwa hajaguswa bado na kama kuna mwanaume aliyewahi kumuingiza kwenye ulimwegu wa mapenzi ajitokeze.
 
yawezekana ni bikira!!lakini je mumeuliza ni bikira hipi??au mmekurupuka na mkumpinga kuwa hana bikira??ya wezekana yeye alimaanisha!!
 
yawezekana ni bikira!!lakini je mumeuliza ni bikira hipi??au mmekurupuka na mkumpinga kuwa hana bikira??ya wezekana yeye alimaanisha!!
kama kajituuunza kweli labda ile ya nyuma,mana hata ya mdomo atakua hana
 
Walikuwa wanapitia kwa jirani..haha haa hiyo ya bikra ya mdomo umenichekesha sana...
 
bikira ziko nyingi sijui yuamaanisha ipi mie!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom