yeye si kadai moja ya sbb ya kuitoa ni wingi wa PM.....!!
mimi nitamtumia mvua nyingine ya PMs za kuomba airudishe ile ya kwanza mkuu....labda mrembo atabadili mwendo huu!lol
tehetehe........nashukuru kwa kujali afya yangu mazee....lkn father-xmas huyu hana msimu kamanda.....cheusimangala mimi na yeye damu damu atanielewa tu.....lolhhaha ingekuwa sasa hivi ni wakati wa krishmasi, apo kweli ungeweini lakini kwa sasa ngoja wenye 'property right' tu do ze nidiful kwa afya yako!
Hahahahahaha kila la heri Father Xmas ile avatar CM akiamua kuirudisha wengi tutafurahia sana tu. π
RayB, basi nielezee kwa maneno avatar ilikuwaje na nitapata picha wakati ombi la kurudishwa kwake likifanyiwa kazi.
yeye si kadai moja ya sbb ya kuitoa ni wingi wa PM.....!!
mimi nitamtumia mvua nyingine ya PMs za kuomba airudishe ile ya kwanza mkuu....labda mrembo atabadili mwendo huu!lol
RayB, basi nielezee kwa maneno avatar ilikuwaje na nitapata picha wakati ombi la kurudishwa kwake likifanyiwa kazi.
Mkuu wewe niwekee kwa sababu hatuwezi kufumba macho tuwapo barabarani, kwa kazi ya uumbaji. Au watu wafichwe ndani wasionekane?mkulu unaomba kuelezewa hadi unatia huruma....tehetehe...mi ninayo kubwa yake nimeisave cheusi aliniambia alikoitoa lol ...ningekupa lkn naogopa kuiweka hapa nisije kumuuzi malkia wa afrika bure na yeye keshatubu.....lol
hahaha comredi BAK hapo naona unataka kusema kabisa...vipi wataka irudi tufanye petition?
Haitakuwa vibaya Mkuu
hahaaa..ngoja kesho kwen jukwaa la malalamiko
si unajua mwanakijiji alitaka kutuwekea mtu wa afghanistani tukamwomba amrudishe orijino akakubal?
kaizer naipenda signature yako!
Naomba msamaha nikimaanisha kutoka ndani ya moyo wangu,
Ni mara kadhaa nimekuwa nikikutana na coments za kaka zangu wakidai kuwa avatar yangu ile ya mwanzo imekuwa ikiwatia majaribuni.
Mimi ni binti wa kikristo,hivyo kumuangusha mwenzangu majaribuni ni jambo zito na lenye kuipoteza amani ya moyo wangu ndio maana nimeamua kuitoa avatar ile.
Mbaya zaidi najiona nilikuwa kama mnafiki sbb sometimes nimekuwa nikiwaandikia maneno ya ujumbe wa mungu nikiwasihi tuache maasi lkn avatar yangu ilikuwa against what i was preaching sbb ilikuwa ikiwasukuma kaka zangu kuwazia maasi.(nimetubu kwa hilo,nanyi tubuni).
Pia nimeibadili sababu PMs zilizokuwa zikimiminika kama mvua ya masika zilikuwa zinanikosesha pumzi na hata niliposema nina mchumba haikusaidia,hivyo natumai mabadiliko haya ya avatar yatapunguza wingi wa PMs kama sio kuzimaliza kabisa.
now i know what carmel waz talkin about,nimekoma jamani!!!
kaka zangu nisameheni hakika sikujua kama kale ka-avatar yaani kanaweza kuwatia majaribuni jamani.
I love u all.
Cheusi wangu wala huna sababu ya kuomba msamaha,ila mimi binafsi nakuomba kwa afya yangu na ya wanajamii wengine, basi irudishe ile.
Mi sina tatizo na Avatar wala PMs, ni jambo la kawaida tu ..lakini kilio hiki kimenifikia nami nakuomba hebu irudishe basi mama watu waendelee kufurahi!
asante kwa kunisikiliza na kuwasikiliza wengine pia!
Naomba msamaha nikimaanisha kutoka ndani ya moyo wangu,
- avatar yangu ile ya mwanzo imekuwa ikiwatia majaribuni.
- Mimi ni binti wa kikristo,
- kumuangusha mwenzangu majaribuni ni jambo zito na lenye kuipoteza amani ya moyo wangu
- nilikuwa kama mnafiki sbb sometimes nimekuwa nikiwaandikia maneno ya ujumbe wa mungu
- avatar yangu ilikuwa against what i was preaching sbb ilikuwa ikiwasukuma kaka zangu kuwazia maasi
- Pia nimeibadili sababu PMs zilizokuwa zikimiminika kama mvua
- niliposema nina mchumba haikusaidia,
- hivyo natumai mabadiliko haya ya avatar yatapunguza wingi wa PMs kama sio kuzimaliza kabisa.
Cheusi,
Kwanza ebu "rewind" bana ile ya awali tuone ilikuwaje, sie wengine hatukuwahi kuiona hiyo iliyobadilishwa, pleaseeeeee, inaweza kuwa nzuri zaidi ...
Umekwshaolewa au ndo bado mchumba?? lakini hii ya sasa yaonyesha kama una pete ya ndoa..je, ni kukwepa PMs?.
Kama si kujichulia kutovikwa kabisa pete ya ndoa au uchumba kwenye hicho kidole husika, tafadhali rejesha ile ya awali au tafuta nyingine iwapo huna mchumba wala mume.
Kwani ni nini kilikusukuma ukatumia ile ambayo umeibadili?,..
Huna uhakika na maumbile yako?, je, kama ungekuwa kama hiyo avatar ya awali ungejibadili iwapo "kaka zako" tungekuwatukikuuliza?..
Cheusi wangu wala huna sababu ya kuomba msamaha,ila mimi binafsi nakuomba kwa afya yangu na ya wanajamii wengine, basi irudishe ile.
Mi sina tatizo na Avatar wala PMs, ni jambo la kawaida tu ..lakini kilio hiki kimenifikia nami nakuomba hebu irudishe basi mama watu waendelee kufurahi!
asante kwa kunisikiliza na kuwasikiliza wengine pia!
haya kaka yangu sema jingine!CheusiMangala mimi pia naungana na Kaizer kukuomba ili uirudishe ile avatar. Sikuwahi kusema chochote huko nyuma kuhusiana na avatar ile wala kukumiminia miPM lakini kusema kweli nilikuwa naingalia mara nyingi kila nilipokutana na jumbe zako. Hivyo naungana na Mkuu Kaizer kukuomba uirudishe na watakaoingia majaribuni basi watajua jinsi ya kupambana na majaribu hayo. Natanguliza shukrani.