cheusimangala
JF-Expert Member
- Feb 27, 2010
- 2,585
- 497
Mimi hukuwahi kunikwaza na ile avatar, ila kwa kuitoa ile na kuweka huo mkono ndo umenikwaza. Kama wewe una imani ya kweli, basi itabidi utubu tena kwa kunikwaza mimi. ha ha ha haaaa!!
Ubarikiwe na Bwana! Amen!Mimi ni binti wa kikristo,hivyo kumuangusha mwenzangu majaribuni ni jambo zito na lenye kuipoteza amani ya moyo wangu ndio maana nimeamua kuitoa avatar ile.
nitatafuta nyingine nzuri,ucjali,najua unaipenda lkn kubali matokea!Ile Avatar haikuwa na tatizo kwani ni picha tu na ilikuwa ya heshima tu mbona mi sijakusamehe hebu rudisha ile identity bwana that was your brand which made who you are now in the context of JF
nitatafuta nyingine nzuri,ucjali,najua unaipenda lkn kubali matokea!
Bwana mwenyewe hasamehi kabla hujapatana na ndugu yako. Hamkusoma kwamba hata kama umepeleka sadaka madhabahuni lakini hujapatana na ndugu yako, iache madhabahuni urudi ukapatane kwanza na nduguyo? Kwahiyo patana kwanza na mimi ndo uende kutubu kwa bwana."" Nalisema nitayakiri maasi yangu kwa Bwana, naye atanisamehe upotovu wa dhambi zangu"
Kaizer@jamiiforums.com
Mengi yaendelea kufichuka!Bwana mwenyewe hasamehi kabla hujapatana na ndugu yako. Hamkusoma kwamba hata kama umepeleka sadaka madhabahuni lakini hujapatana na ndugu yako, iache madhabahuni urudi ukapatane kwanza na nduguyo? Kwahiyo patana kwanza na mimi ndo uende kutubu kwa bwana.
Aah Cheusimangala, usikimbie majaribu pambana nayo, kwa upande wangu nitakuwa siyo msomaji mzuri wa comment zako kwani kale ka-avatar kalikuwa kana nipa msukumo wakujua nini kilicho ndani yake (kusoma zaidi ulichoandika).
kwani mimi na wewe tumegombana wapi jamani?Bwana mwenyewe hasamehi kabla hujapatana na ndugu yako. Hamkusoma kwamba hata kama umepeleka sadaka madhabahuni lakini hujapatana na ndugu yako, iache madhabahuni urudi ukapatane kwanza na nduguyo? Kwahiyo patana kwanza na mimi ndo uende kutubu kwa bwana.
Hatujagombana, ila umenikwaza kwa kubadilisha avatarkwani mimi na wewe tumegombana wapi jamani?
note:usiyatumie maandiko vibaya ili kujinufaisha haja zako!
Mengi yaendelea kufichuka!
umetukwaza bana rudisha ile ile,tuwe na apetite ya kuja JF.Naomba msamaha nikimaanisha kutoka ndani ya moyo wangu,
Ni mara kadhaa nimekuwa nikikutana na coments za kaka zangu wakidai kuwa avatar yangu ile ya mwanzo imekuwa ikiwatia majaribuni.
Mimi ni binti wa kikristo,hivyo kumuangusha mwenzangu majaribuni ni jambo zito na lenye kuipoteza amani ya moyo wangu ndio maana nimeamua kuitoa avatar ile.
Mbaya zaidi najiona nilikuwa kama mnafiki sbb sometimes nimekuwa nikiwaandikia maneno ya ujumbe wa mungu nikiwasihi tuache maasi lkn avatar yangu ilikuwa against what i was preaching sbb ilikuwa ikiwasukuma kaka zangu kuwazia maasi.(nimetubu kwa hilo,nanyi tubuni).
Pia nimeibadili sababu PMs zilizokuwa zikimiminika kama mvua ya masika zilikuwa zinanikosesha pumzi na hata niliposema nina mchumba haikusaidia,hivyo natumai mabadiliko haya ya avatar yatapunguza wingi wa PMs kama sio kuzimaliza kabisa.
now i know what carmel waz talkin about,nimekoma jamani!!!
kaka zangu nisameheni hakika sikujua kama kale ka-avatar yaani kanaweza kuwatia majaribuni jamani.
I love u all.
Naomba msamaha nikimaanisha kutoka ndani ya moyo wangu,

asante kaka maneno yako yamenibariki,nawe ubarikiwe!Umetimiza wajibu wako mbele ya kaka yako, Imeandikwa " Simama ukaitende shughuli hii, kwani ina kuhusu wewe, uwe na moyo mkuu, nami ni pamoja nawe"
Mungu akuzidishie tena katika miaka hii ijayo uweze kuwa na maamuzi ya busara zaidi.
ya kwako na ya kwake kwamba akuombe msamaha!Yapi hayo mkuu?