Nebuchadinezzer
JF-Expert Member
- Oct 1, 2018
- 1,403
- 2,549
Juzi bhana nilienda bar fulani kupata moja baridi (mirinda nyeusi). Ile naingia hvi, nakutana na rafiki yangu Thomas, ikabidi nijongee kwenye meza aliyokuwa amekaa akiwa na mkewe ( wameoana kama mwezi tu). Wakipata wine taratibu.
Ile nimekaa waitress akaja ili anihudumie, nikaagiza mirinda nyeusi. Then nikawa busy na chat na manzi flani hvi.Cha kustajabisha, waitress akaja na soda imefunguliwa tyari. Eti ,karibu. Aisee nilipandwa na hasira nikaimwaga chini ile soda. Kila mtu pale bar akashangaa!
Baadae nilimshushia maneno yule waitress mpaka akaanza kulia huku akipiga magoti kuniomba msamaha..akishika miguu yangu huku akinisihi nisiende kushitaki kwa meneja wake.
Kwa kitendo kile nilikosa amani kabisa na ile bar hadi Leo sitarudia tena kwenda pale.
Hebu fikria, unapewa soda iliyofunguliwa kizibo halafu hujua kaifungua SAA ngapi. Utajisikiaje?
Na nyie mliooa wanawake mkakuta hawana bikra amani mnaitoa wapi?
Nimewamiss JF wote.
Sent using Jamii Forums mobile app