we naeeee!Punguza ukali bibie,, ndo vitu vizuri huja!!!,, Maana nimekuona kwenye ile sredi nyingine kule ulikuwa moto ile mbaya,,
Ila unakipaji LOL...
Mie kwani nataka 10 mil kaka? hata mil 8 tu zinatosha, ntakupa punguzo jameni.
Afu ujue mie bado mpya mpya eeh
Hommie hebu niambie kwa kifupi sana. hapa wanadiskashen makitu gani kwa ujumla?
Mbona umenikatia simu? na unajua sipendi kukatiwa simu? ebu tuyamalize haya
we naeeee!
Sa si unianzishie sredi in ze nemu ofu zati kipaji!
Ila uje kwa ID yako ya zamani!
Hapo bold: he he he he he he, unatuharibia wenzio.
Tunaweza saidia ku rizovu situasheni kwa ku hack Brain ya Rapunzel.
Hivi lakini kwa nini mwanamke mwenzetu anamnyima mtoto wa mwanamke mwenzetu usingizi? Its hurts, una tishu kidogo, machozi hadi sioni skrin tena.
Sipendi unachoniambia tena unazidi kunikera we endelea na show off zako
Am done
Mwenzako hakupendi sasa.
I know it hurts. ..but nimeyavumilia mengi ya huyu jamaa na yeye kaongopa sikumfuma na hao wanawake bar ilikuwa kwenye room yake mi sio chizi nianze kurusha makonde bar
Mwenzangu, 10m ujue vits moja na robo? Na ukizingatia kizazi cha wahongaji kilishaisha nineteen kweusi??!!
Hivi nani alikuwa anaanzisha charity? Memmory inakuja na kuruka
Sipendi unachoniambia tena unazidi kunikera we endelea na show off zako
Am done
Na hiyo sababu ni 'cowardness', in my opinion lakini.
We fanya bas nlivokwambia niendelee!I know it hurts. ..but nimeyavumilia mengi ya huyu jamaa na yeye kaongopa sikumfuma na hao wanawake bar ilikuwa kwenye room yake mi sio chizi nianze kurusha makonde bar
We nawe punguza udaku
Sa skia!
Mi naomba tu pasiwedi ya Jana na Leo!
Am IN!
Nilimpenda sana ila ana macho sita yanayoangalia kulia ,kushoto,mbele na nyuma, chini na juu