Nisamehe Rais wangu Magufuli

Nisamehe Rais wangu Magufuli

Mimi ni kati ya Watanzania ambao tulikuwa hatukuelewi kipindi ukiwa hai. Ni kweli, kama mwanadamu ulikuwa na mapungufu yako. Lakini jambo moja ni hakika, uliipenda Tanzania na Watanzania kwa moyo wako wote.

Kila nikisikiliza ule wimbo wa Msechu huwa ninatokwa na machozi. Pumzika kwa amani Rais Magufuli. Hakika tunakulilia kama ulivyosema tutakukumbuka kwa mema yako.
Rais Samia anayo mapungufu mamkubwa sana ktk uongozi wake. Usimamizi wa rasilimali, nidhamu ya watumishi, ufisadi, etc ni maeneo ni baadhi ya maeneo serikali imeonesha udhaifu mkubwa. Hata hivyo mh. Samia anavumulika kuliko shetani.
 
Umechelewa sana kujua,CHADEMA na uongo wao walikupoteza,hongera sana kushtukia majizi yaliyojificha nyuma ya kivuli cha Demokrasia. Karibu CCM
 
Rais Samia anayo mapungufu mamkubwa sana ktk uongozi wake. Usimamizi wa rasilimali, nidhamu ya watumishi, ufisadi, etc ni maeneo ni baadhi ya maeneo serikali imeonesha udhaifu mkubwa. Hata hivyo mh. Samia anavumulika kuliko shetani.
Tena mbona shetani anavumilika kama mimi ndio ningekuwa Magu ningekuwa za ya kim jongo mauaji ya kushanta ya wala rushwa aisee
 
Mimi ni kati ya Watanzania ambao tulikuwa hatukuelewi kipindi ukiwa hai. Ni kweli, kama mwanadamu ulikuwa na mapungufu yako. Lakini jambo moja ni hakika, uliipenda Tanzania na Watanzania kwa moyo wako wote.

Kila nikisikiliza ule wimbo wa Msechu huwa ninatokwa na machozi. Pumzika kwa amani Rais Magufuli. Hakika tunakulilia kama ulivyosema tutakukumbuka kwa mema yako.
Kwa niaba ya Sukuma Gang tumekusamehe!
 
Kalifufue shetani lenu,sisi tupo na mama
Hasira za nini mkuu? Hatujakataa nyie kuwa na mama ila pia hakuna haja ya kutokwa mapovu kwa ambao wanamkumbuka Magufuli. Sasa hayo maneno ya sijui shetani mara mkamfufue inaonyesha mna hasira sana.
 
Uko kwenye Tanzania ambao wananchi wake walipiga kula na kupata awamu ya sita ila huku kwa Tanzania ambayo hatukupiga kula lakini awamu ya sita ipo so sikushangai kwanza wapi mama Samia anakula kitu chochote kutoka kwa wananchi wenye vipato vidogo wewe kijana ulie na dishi la uyumbe
View attachment 3000153Huyu pimbi wakujianika kwenye miamba kama kenge? Na kula mahindi hadharani kama nyani? CCM walitukosea sana, Ila Mungu akafanya masahihisho 17/ 03/21. Nchi iko salama mikononi mwa Samia View attachment 3000154
 
Hasira za nini mkuu? Hatujakataa nyie kuwa na mama ila pia hakuna haja ya kutokwa mapovu kwa ambao wanamkumbuka Magufuli. Sasa hayo maneno ya sijui shetani mara mkamfufue inaonyesha mna hasira sana.
Waache na mahasira yao usikute likuwa jizi likabanwa ndio maana lina hasira nae
 
Narudia KILA MKOJA ASHINDE MECHI ZAKE. Nyie misukule ya Magu endeleni kumsifia, na sisi TUSIOMPENDA tutaendelea KUFICHUA uchafu wake. Wasomaji ndiyo watakuwa waamuzi.
Hadi leo bado hujajua uamuzi ni upi? Huna macho hata picha hauoni? Hayo mnayoita maovu ya Magufuli tumeanza kuwasikia toka akiwa hai hadi leo ila kadri siku zinavyosogea watu wanazidi kumkumbuka Magufuli halafu wewe bado unazungumzia kufichua maovu? Wewe kweli hujielewi.

Watu wameshamkataa Samia hilo lazima mkubali tu, sisi hatuna shida kwa nyie kumchukia Magufuli maana hatuwezi kujua mliguswa wapi ila tunashangaa akitajwa tu Magufuli mnawehukwa na kuanza kutaja mara mambo ya kufufuka.
 
Narudia KILA MKOJA ASHINDE MECHI ZAKE. Nyie misukule ya Magu endeleni kumsifia, na sisi TUSIOMPENDA tutaendelea KUFICHUA uchafu wake. Wasomaji ndiyo watakuwa waamuzi.
Sawa chawa wetu mahili tumekusikia
,Lakini twafahuma unayosemaga ukiwa katika upuuzi wako
 
Mimi ni kati ya Watanzania ambao tulikuwa hatukuelewi kipindi ukiwa hai. Ni kweli, kama mwanadamu ulikuwa na mapungufu yako. Lakini jambo moja ni hakika, uliipenda Tanzania na Watanzania kwa moyo wako wote.

Kila nikisikiliza ule wimbo wa Msechu huwa ninatokwa na machozi. Pumzika kwa amani Rais Magufuli. Hakika tunakulilia kama ulivyosema tutakukumbuka kwa mema yako.
Takataka
 
Back
Top Bottom