Any chama gani unaongelea maana mie niko chamalessWewe unajisemea upande wako mkuu, ambao ni upande wa Magufuli. Kuna "wala Bata" ambao hawasikii lolote kuhusu mtu wao huyo, hata kama huwasikii mara kwa mara. Akina JK hadi leo wanao wafuasi, usisahau.
Ngoja nisiondoke bila kukupa ushauri huu.
Ni vizuri kumkumbuka kiongozi mliyeona anafanya kazi nzuri kwa maoni yenu. Hiyo haitoshi, hasa katika wakati huu.
Kumuenzi kiongozi wenu ni kufanya juhudi ya kuondoa yale mnayoona kiongozi huyo hakuyapenda. Ni jukumu lenu sasa kujipanga kuhakikisha kuwa haya msiyoyapenda yaondoke haraka. Haitoshi kubaki mnalalama tu na kumlilia kiongozi. Lindeni 'legacy' yake kwa kuhakikisha aliyokuwa akiyasimamia hayavurugwi kama yanavyovurugwa sasa hivi.
Anzieni kampeni zenu huko ndani ya chama chenu.
Kama zingekuwepo hata barua kwenda Mungu walu ningemwambia jinsi hawa viongozi uchwala wanavyo iharibu yoyote aliunda upya jembe letu na kumnoa jembe ambaye akija atafyeka wala rushwa zaidi ya kim jongNimeiona hii picha nimelia sana hadi muda huu machozi yananilengalenga hadi nashindwa kuona vizuri herufi kwenye keyboard.Nikikumbuka namna nchi inavyoharibiwa na kuuzwa Kwa waarabu ambao ni kichaa pekee anaweza kukubali hayo matwakwa yao.pumzika Kwa amani mzalendo.ulisema kweli tutakukumbuka
"Na Mimi nataka niseme Watanzania mtanikumbuka na mtanikumbuka kwa mazuri na si kwa mabaya kwasababu nimesacrifice maisha yangu kwa wananchi masikini"Mimi ni kati ya Watanzania ambao tulikuwa hatukuelewi kipindi ukiwa hai. Ni kweli, kama mwanadamu ulikuwa na mapungufu yako. Lakini jambo moja ni hakika, uliipenda Tanzania na Watanzania kwa moyo wako wote.
Kila nikisikiliza ule wimbo wa Msechu huwa ninatokwa na machozi. Pumzika kwa amani Rais Magufuli. Hakika tunakulilia kama ulivyosema tutakukumbuka kwa mema yako.
Kama yapi? Taja moja tuHayo yote unayoeleza watu wameyasikia tokea Magufuli akiwa hai ila bado watu wanamkumbuka Magufuli. Athari za mapungufu ya Samia ziko wazi na zinawagusa watu kiuhalisia kuliko mengi yaliyoelezwa kuhusu Magufuli.
Uchumi ungekua umekufa kabisa bora alivyoondolewa mapema. Private sector ilikua inapumulia machine.Apumzike kwa Amani Jemedari angekuwepo hadi leo changes zingekua nyingi mno
Ni maoni yanguUchumi ungekua umekufa kabisa bora alivyoondolewa mapema. Private sector ilikua inapumulia machine.
MkapaMarais bora wa nchi hii ni
J. K. Nyerere na
J. P. Magufuli
Wengine, hapana.
Mwizi, fuatilia skendo ya KiwiraMkapa
Wahuni wameshika Hatamu.
Wale walioitwa Washamba wamewekwa kando.
Wakati wa maongezi ya simu yaliyovuja wale wazee walisema; "anajua, ndio maaana anaogopa kuja Dar"! Unadhan alikua anaogopa nini hicho!
Nini kukumbukwa?. Kwani Iddi Amini na Mobutu hawakumbukwi? Au Adolph Hitler na Benito Mussolini hawakumbukwi?umeanza kuwasikia toka akiwa hai hadi leo ila kadri siku zinavyosogea watu wanazidi kumkumbuka Magufuli halafu wewe bado unazungumzia kufichua maovu? Wewe kweli
Ikiwa hauko informedSikuwa namkubali magufuli ila hizo stori ni za uongo
Sasa we naona unakuwa mjuaji huku ulisoma chechea mkondo DWewe mburura nenda kwanza kajiandikishe MEMKWA ili ukiandika tukuelewe. "Kupiga kula" ndiyo nini?
Mtu wa Darasa la 7 B, ukija JF utajidhalilisha tu, bakia Facebook tu kwa wajinga wenzio