angelita
JF-Expert Member
- Jun 13, 2013
- 3,017
- 2,446
Mvulana wa Morogoro.Hata huyu kwani mwanaume wa Dar?
Mvulana wa Morogoro.Hata huyu kwani mwanaume wa Dar?
bora usimsave mkuuHili la kusave majina ya ajabu watu ,Mungu anisamehe tu
[emoji23] [emoji23] na kweli tukisema mwanaume jina litamlemeaMvulana wa Morogoro.
kwani kuna unyama hapo?....Wakati mwingine ubinadamu inabidi upewe kipaumbele badala ya kutaka kumkomoa mtu.
Itakua usumbufu bana kuanza kukariri namba Mkuubora usimsave mkuu
Hili la kusave majina ya ajabu watu ,Mungu anisamehe tu
mkuu litakutokea utajutaItakua usumbufu bana kuanza kukariri namba Mkuu
angekuwa marehemuMkuu kama uliwai kuitwa mwizi pole sana maana sipati picha ungekuwa ufahamiki ayo maeneo ungedanji kisa nyap**** very bad scene
We unaweza kumuita mwenzio mwiviiii kwa nguvuangekuwa marehemu
Hahaha najua ,Jombaa nakuwa makini sana kama Sniper anapofika kwenye (FFP) Final Firing Position ,one has to lower his/ her breath using tactical breathing and he/she must fire between the heart beats ,akikosea hapo anajua nini kitampataHaha. Omba tu wasigundue.
Kuna manzi ameni-save "Tanzania" kwenye simu yake, na huwa namsaidia mara kadhaa issues zake zikikwama. Nimejiweka mbali kabisa na yeye, ila hajawahi kujua kwanini.
Ni kweli chochote kinaweza kutokea ,kwa mfano wewe unaitwa tatu nikakusave 5-2 ,ukikuta hivyo utafanyaje ?mkuu litakutokea utajuta
nafuta namba naondoka kimya kimya hata bila ya wewe kujuaNi kweli chochote kinaweza kutokea ,kwa mfano wewe unaitwa tatu nikakusave 5-2 ,ukikuta hivyo utafanyaje ?
hiyo roho sina kwa kweli bora nimpige mangumi ya fasta fasta kimya kimya huku yeye akiwa haelewi kinachoendeleaWe unaweza kumuita mwenzio mwiviiii kwa nguvu
[emoji38][emoji38] sasa hapo kosa langu ni lipi ? Kwani 5-2 jibu ni ngapi ?nafuta namba naondoka kimya kimya hata bila ya wewe kujua