Gorgeousmimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2010
- 9,296
- 7,688
Kuna viumbe makatili sana acha rafiki!Kwenye mahusiano kuna manyanyaso mengi sana
Imagine mtu anayekuvulia chupi unamsave jina kama hilo!anagundua hilo na wewe bado hutafakari hisia zake bali nyege zako
Kafunga safari toka mbali kakufuata...achana na yote ya ugomvi alihitaji nauli kama mhitaji mwingine yeyote yule
Kuna watu mna roho ngumu sana mimi nisingeweza kufanya huu unyama
Inauma mnoKuna viumbe makatili sana acha rafiki!
Hey are serious??Mkuu
kuna dada aligongwa gari Msamvu mwaka 2014 akatambulika kwa jina la Anna, alivunjika miguu yote na sijui kama ali-recover, sababu ilielezwa ni kukosa nauli ya kurudi kwao .
Huenda akawa yeye.
Yeah Man We have to do itHahahahahhhh
Miss uHata huyu kwani mwanaume wa Dar?
Shame On you Young boy.
Miss u too mamaa za siku?Miss u
Nzurii upoMiss u too mamaa za siku?