miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,104
kosa lako hujasave jina langusasa hapo kosa langu ni lipi ? Kwani 5-2 jibu ni ngapi ?
kosa lako hujasave jina langusasa hapo kosa langu ni lipi ? Kwani 5-2 jibu ni ngapi ?
na nikijifuta hunioni tenahaya
Hongera kwa kuwa na roho safihiyo roho sina kwa kweli bora nimpige mangumi ya fasta fasta kimya kimya huku yeye akiwa haelewi kinachoendelea
asante mkuuHongera kwa kuwa na roho safi
Wewe wasema mama ,hivi hujawahi kuona mdada anapewa kipigo cha mbwa mwizi halafu kwa bwana wake anarudi tu ?na nikijifuta hunioni tena
Hahahahahila ulivyomsave si pouwa kabisa aisee.... hukufanya fair kabisa kumyima mtoto mzuri nauli .. mwenzio aliileta papuchi kwa roho nyeupe wewe ndiye uliyeharibu na kumsave lijina la ajabu badala hata uhakikishe papuchi inarudishwa kwao vizuri ukaiacha stand si pouwa kabisa aiseee...........
Nouma Mkuu.Mkuu kama uliwai kuitwa mwizi pole sana maana sipati picha ungekuwa ufahamiki ayo maeneo ungedanji kisa nyap**** very bad scene
bora hatumeona mkuu nimekaa nikawaza alivyokuwa anajiandaa kuileta huko akaisafisha vizuri toa na vile vimajani dah .. ha hah ahaha ila basi tenaHahahahah
Ila kama kuna ukweli ndani yake
Mhhh, miss chagga!!!!mtani sana yani.. halafu yeye kunyimwa mzigo ni kwa sababu ya ujinga wake
Habari zenu wakuu wa MMU. Ni matumaini yangu kuwa mko poa wote.
Lengo kubwa la kuanzisha huu Uzi ni kumuomba msamaha ex gf wangu tulieachana nae mwaka 2014.
Sio kwamba nataka turudiane bali ni kwa lile tukio lilotokea pale MSAMVU STAND baada ya kuwa tumegombana tukiwa Logde moja hivi nyuma ya msamvu.
Tuligombana baada ya kukuta nimemsevu mzinguaji na ukaamua kuninyima haki yangu( Papuchi) na kila nilipokuwa nataka kumshika au kumpapasa alipiga kelele na kupelekea wahudumu wa lodge kuja kutugongea mlango na kutushauri tuwe na ustaraabu kidogo tukiwa tunamega tunda kumbe hata sio kelele za kumega tunda.
Baada ya kama nusu saa hivi bila mafanikio yoyote niliondoka pale lodge kwa hasira sana nikielekea stand nipande daladala nirudi home.
Nikiwa natembea kwa unnyonge wa kunyimwa papuchi kisa tu kuseviwa MZINGUAJI nikasikia sauti toka nyuma ikiita mike..mike..Mike please naomba unisikilize.. kugeuka ni ANNA a.k.a madam. Bila hiana nikasimama ili nijue anataka kuniambia nini.
Akasogea karibu yangu ila akiwa amejawa na uso wa huzuni na majonzi..ndipo aliponiomba nimlipie nauli ya kurudi Dar na kunihakikishia kuwa hawakuwa na nauli hata shilingi moja nilifurahi kusikia hivyo nikakumbuka ule msemo kuwa "ndege mjanja hunaswa kwenye tundu bovu"
Nikamwambia twende stendi usijali nitakulipia ingawa moyoni mwangu sikutaka nimlipie bali nimkomoe tu. Baada ya kufika stendi nikamwambia kana hapa ngoja nikatoe hela M-PESA nakuja ili tulipe nauli usepe.
Mtoto akanielewa na akawa ameketi kwenye kiti cha abiria katika kibanda cha kukatia tiketi kumbe ile ilikuwa ni gia ya kuondoka kwenda nyumbani na kumuacha pale. Alipiga sana simu nyingi lakini sikuona kama zina umhimu wowote kwangu maana alinidhalilisha sana.
Hivyo basi, mpaka leo hii sijui alifikaje mjini Daslam au alikuwa tu analeta ujanja wake ili nimlipie nauli wakati ameninyima papuchi.
Mwisho, najua sana uko humu wewe binti mzuri ANNA na unapendelea sana MMU. ukisoma thread hii nitafute kwa namba ileile tuombane msamaha vizuri.
Mike.
Wewe Wacha kuwashusha hadhi wanaume, hawanaga tabia kama uliyoandika hapo juu.Tuheshimiane mi siyo mvulana ni mwanaume wa nguvu asiyekuwa na huruma kwa vimalaya uchwara na Malaya wenyewe.
ha ha aha nikukuteUnajua mtu hawezi kuku-save jina fulani bila sababu ya msingi.
Unapokuwa unaonyesha tabia fulani fulani hivi ndipo mwanzo wa kuitwa majina kama BALOTELI, JOHN CENA, MZINGUAJI. etc
Words.Dah, ingawa mimi si muumini wa kusave wapenzi kwa majina ya baby na sweety ( phone book yangu yote kila mtu ameseviwa kwa jina lake halisi including mpenzi wangu ), ila jamaa alichokifanya siyo fair. Afadhali ungekuwa umesave jina la kueleweka, eti ukasave mzinguaji.
It is not fair, ingawaje naye hakutakiwa kupanic alivyopanic, kwa msichana mwenye uelewa ilipaswa akuulize kwa nini umemsave hivyo. Angechukua maelezo yako kisha angepima.
Kwa mwanamke aliyekomaa kiakili, kama jibu lako lingekuwa halijamridhisha, mchezo angekupa, ila baada ya hapo kibao kingegeuka yangeweza kuwa kati ya haya: Either ndo ungekuwa mwisho wenu, ama ndo ingekuwa mwanzo wa yeye kukuzingua na kubeba dhima ya uzinguaji hawa kama ulivyomuita.
Kwa bahati mbaya mlikutana nyote akili hazijatengemaa.
Wahenga walisema (hawa ni wahenga wazungu ) "Experience is a good teacher". Next time naamini hutofanya uliyoyafanya.