Sehemu ya 54.
Richard alifahamu kila kitu kilichokuwa kikiendelea katika maisha ya Evelyne, alimpenda mno msichana huyo, kutokana na hali aliyokuwa nayo aliamini ulikuwa ndiyo muda wake muafaka wa yeye kujitokeza kwa mara nyingine, hakutaka kumuomba msamaha ila alichoamua kukifanya ni kurudi kama rafiki ambaye aliguswa na matatizo yaliyompata Evelyne katika ndoa yake.
Alijitoa katika kila hali na mali, hakutaka kuonekana adui kwa msichana huyo, kila alilokuwa akilifanya alilifanya kwa kuonyesha moyo wa msaada.
Baada ya kupita miezi miwili Fredrick aliweza kupoteza maisha, kilikuwa ni kifo ambacho kilimuacha Evelyne na maumivu makali mno, ndugu zake Fredrick waliamua kumshtaki Evelyne polisi na kisha wakamfungulia kesi ya mauaji, ilikuwa ni kesi nzito ambayo ilimuweka Evelyne na hatia ya mauaji lakini kutokana na uwezo wa kifedha aliyokuwa nao Richard alihakikisha anapigana mpaka anafanikiwa kumuweka huru Evelyne.
Richard alimuomba msamaha Evelyne na kumuahidi kuwa muaminifu katika maisha yake yote. Evelyne hakuwa na kipingamizi chochote, aliamua kumsamehe Richard kisha mapenzi yao yakarudi kuwa kama zamani.
Walifanikiwa kufunga ndoa na baada ya mwaka mmoja kupita walifanikiwa kupata mtoto wa kiume, alikuwa ni mtoto mzuri sana, aliyekuwa na afya njema. Evelyne aliamua kumpa jina la Fredrick ikiwa ni kama kumbukumbu ya kumuenzi mwanaume huyo huko alipo.
Maisha yao yalizidi kutawaliwa na furaha huku mtoto wao akiendelea kukuwa vizuri bila matatizo yoyote.
*
*
MWISHO.
Mwisho wa simulizi hii ndiyo mwanzo wa simulizi nyingine nzuri ya maisha.
Dah maskini, Fredrick amenisikitisha[emoji22] jamaa ni gentleman sanaSehemu ya 51.
Baada ya masaa kadhaa kupita, hatimaye majibu yaliweza kutolewa na daktari, kutokana na ajali aliyoipata Fredrick ilimsababishia matatizo katika kizazi chake pamoja na mshtuko aliyoupata ulimpelekea kupooza hivyo katika maisha yake angeshindwa kuamka na kufanya shughuli zake kama ilivyokuwa kawaida na badala yake maisha yake yalibadilika na kuwa ni ya kitandani.
Fredrick alikuwa amelala kitandani, uso wake ulikuwa umetawaliwa na furaha, alizidi kuonekana kuyafurahia maisha yake.
Alimtazama mke wake ambaye machozi yalikuwa yakimdondoka kwa muda huo, Evelyne kila alipokuwa akimtazama mume wake jinsi alivyokuwa amelala kitandani alihisi maumivu makali mno ndani ya moyo wake.
Alimpenda sana mume wake, hakutaka kumuona akiendelea kuteseka, alipanga kufanya kila awezalo ili aweze kuyaokoa maisha yake lakini alipoyakumbuka majibu ya daktari kuwa asingeweza kupona, alizidi kuumia mno.
Hakuna maumivu makali kama kumuona yule umpendae akiteseka kwa ugonjwa katika dunia hii, ni zaidi ya maumivu makali mno.
Machozi yaliendelea kumbubujika Evelyne pale hospitalini, hakutaka kuamini kama mume wake alikuwa amepooza na kibaya zaidi alipoteza uwezo wa kupata mtoto. Hilo liliendelea kumuumiza sana moyo wake.
Ilikuwa imepita miezi kadhaa tangu walipofunga ndoa yao, kabla ya kufika hata mwaka tayari ndoa hiyo ilikuwa imeingiwa na tatizo.
Ndugu wa mume wake walipozipata taarifa za ajali hiyo hawakutaka kuelewa chochote, waliamini ilikuwa ni ajali ya kupangwa na ilisababishwa na Evelyne ambaye walidai alizitamani mali za ndugu yao.
Mwisho mzuri kwa Richard, ila Fredrick kanisikitisha sana.Sehemu ya 54.
Richard alifahamu kila kitu kilichokuwa kikiendelea katika maisha ya Evelyne, alimpenda mno msichana huyo, kutokana na hali aliyokuwa nayo aliamini ulikuwa ndiyo muda wake muafaka wa yeye kujitokeza kwa mara nyingine, hakutaka kumuomba msamaha ila alichoamua kukifanya ni kurudi kama rafiki ambaye aliguswa na matatizo yaliyompata Evelyne katika ndoa yake.
Alijitoa katika kila hali na mali, hakutaka kuonekana adui kwa msichana huyo, kila alilokuwa akilifanya alilifanya kwa kuonyesha moyo wa msaada.
Baada ya kupita miezi miwili Fredrick aliweza kupoteza maisha, kilikuwa ni kifo ambacho kilimuacha Evelyne na maumivu makali mno, ndugu zake Fredrick waliamua kumshtaki Evelyne polisi na kisha wakamfungulia kesi ya mauaji, ilikuwa ni kesi nzito ambayo ilimuweka Evelyne na hatia ya mauaji lakini kutokana na uwezo wa kifedha aliyokuwa nao Richard alihakikisha anapigana mpaka anafanikiwa kumuweka huru Evelyne.
Richard alimuomba msamaha Evelyne na kumuahidi kuwa muaminifu katika maisha yake yote. Evelyne hakuwa na kipingamizi chochote, aliamua kumsamehe Richard kisha mapenzi yao yakarudi kuwa kama zamani.
Walifanikiwa kufunga ndoa na baada ya mwaka mmoja kupita walifanikiwa kupata mtoto wa kiume, alikuwa ni mtoto mzuri sana, aliyekuwa na afya njema. Evelyne aliamua kumpa jina la Fredrick ikiwa ni kama kumbukumbu ya kumuenzi mwanaume huyo huko alipo.
Maisha yao yalizidi kutawaliwa na furaha huku mtoto wao akiendelea kukuwa vizuri bila matatizo yoyote.
*
*
MWISHO.
Mwisho wa simulizi hii ndiyo mwanzo wa simulizi nyingine nzuri ya maisha.
Kuna nyingine nimekuita
Simulizi:Death Of Innocent - JamiiForumsWapi huko nakuja
Sent from my iPhone using JamiiForums
Shukrani Shunie, God bless you mama.Sehemu ya 54.
Richard alifahamu kila kitu kilichokuwa kikiendelea katika maisha ya Evelyne, alimpenda mno msichana huyo, kutokana na hali aliyokuwa nayo aliamini ulikuwa ndiyo muda wake muafaka wa yeye kujitokeza kwa mara nyingine, hakutaka kumuomba msamaha ila alichoamua kukifanya ni kurudi kama rafiki ambaye aliguswa na matatizo yaliyompata Evelyne katika ndoa yake.
Alijitoa katika kila hali na mali, hakutaka kuonekana adui kwa msichana huyo, kila alilokuwa akilifanya alilifanya kwa kuonyesha moyo wa msaada.
Baada ya kupita miezi miwili Fredrick aliweza kupoteza maisha, kilikuwa ni kifo ambacho kilimuacha Evelyne na maumivu makali mno, ndugu zake Fredrick waliamua kumshtaki Evelyne polisi na kisha wakamfungulia kesi ya mauaji, ilikuwa ni kesi nzito ambayo ilimuweka Evelyne na hatia ya mauaji lakini kutokana na uwezo wa kifedha aliyokuwa nao Richard alihakikisha anapigana mpaka anafanikiwa kumuweka huru Evelyne.
Richard alimuomba msamaha Evelyne na kumuahidi kuwa muaminifu katika maisha yake yote. Evelyne hakuwa na kipingamizi chochote, aliamua kumsamehe Richard kisha mapenzi yao yakarudi kuwa kama zamani.
Walifanikiwa kufunga ndoa na baada ya mwaka mmoja kupita walifanikiwa kupata mtoto wa kiume, alikuwa ni mtoto mzuri sana, aliyekuwa na afya njema. Evelyne aliamua kumpa jina la Fredrick ikiwa ni kama kumbukumbu ya kumuenzi mwanaume huyo huko alipo.
Maisha yao yalizidi kutawaliwa na furaha huku mtoto wao akiendelea kukuwa vizuri bila matatizo yoyote.
*
*
MWISHO.
Mwisho wa simulizi hii ndiyo mwanzo wa simulizi nyingine nzuri ya maisha.
Shunie nishakusamehe mpenzi kama jina la hadithi yetu inavyosema "nisamehe mpenzi"Jamani nilisahau kuweka episode ya 31 nisameheni tu
Aah..wap..Kabisa mkuu. Hapo ndo huwa tunapofeli. Binafsi always huwa namshkuru sana Mungu kwa kunifanya nsiwe mwanaume wa kutawaliwa na mihemko, especially ya abdallah kichwa wazi, otherwise yaliyomkuta Richard yangekua yashanikuta zamani sana. Kina Monalisa vivuruge wako wengi sana
the Legend☆
Msalimie Shunie pia[emoji2]