Nisamehe ewe Mwalimu

Nisamehe ewe Mwalimu

binti wa kirombo

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2016
Posts
847
Reaction score
965
Waungwana wazima?

Mimi nakumbuka mwaka 2013 nikiwa chuo mwaka wa kwanza nilijikuta naingia mkenge na mwl wangu ambae alikuwa mkenya akanikaribisha gheto kwake nikaenda tukapiga stori za hapa na pale mwl akijua atakula tunda la mwanafunzi wake nikagoma na kipindi hicho sijui hata mapenzi ni ni nilikuwa nasikia kwa watu tu..

Nakumbuka mamayangu alinipa wosia kuwa usikubali mwanaume akuchezee akikupenda mwambie twende kwa baba yangu mbezi ukajitambulishe ..mwalimu kapiga kiswahili nikawa simuelewi wakati huo nilikuwa na uhuru kidogo maana nilikuwa nakaa hosteli.

Mwalimu nakumbuka alilia akiniambia naomba tunda.. nikakataa.. akalia sana..

Baada ya kuniona nimekataa akaniambia siutalala kwangu leo nikajibu hapana..kama MUNGU vile aliniokoa Baba yangu akanipigia simu niko hapa hosteli kwenu uko wapi? Nikamjibu nipo Posta... Posta mbona kama upo sehemu yenye muziki sana? Nikasema hapan ni gari la matangazo linapita..akaguna nakupa dakika kumi nione sura yako hapa ...nikajibu sawa baba nakuja...

Mwl nikamuaga akasema okey huku akiwa amenuna kwelikweli akaniambia ngoja nitakupeleka mpaka Ubungo..tumefika hapa tanesco almanusura tupate ajali gari yake ikakwaruzwa na daladala.. nilibaki nikisema MUNGU wangu nisamehe..akaniambia usijali angetugonga angetulipa..

Akanishusha pale darajani nikamwaga.. Akashuka kwenye gari akanikumbatia akisema nakupenda sana****** .. Nilishindwa kumjibu mi nawaza Baba kaja kunitembelea nitamweleza posta nimeenda kufanyaje?...

Baada ya dakika chache akaniaga..huku akinipa buku teni.. Nakumbuka nilikwea gari fasta nikashuka hosteli nikamkuta mzee namsalimia akaniuliza una uhakika ulikuwa Posta? Nikajibu ndio.. alichoniambia hiyo tabia yako uliyoianza usipoacha mapema utanijua mim ni nani.. Nilichoka moyo ulikwenda kasi...

Lakini nayaandika haya nikiwa namwomba mwl wangu raia wa kenya anisamehe mim mwanafunzi wake kwa kumnyima tunda. Pia nilikuwa sitarajii kitu kama hicho kutoka kwake..najua utakuwa unaperuzi huku ukiona huu ujumbe naomba unisamehe.

Ni mimi mwanafunzi wako!
 
waungwana wazima

Mim nakumbuka mwaka 2013 nikiwa chuo mwaka wa kwanza nilijikuta naingia mkenge na mwl wangu ambae alikuwa mkenya akanikaribisha gheto kwake nikaenda ,,tukapiga stori za hapa na pale mwl akijua atakula tunda la mwanafunzi wake nikagoma na kipindi hicho sijui hata mapenzi ni ni nilikuwa nasikia kwa watu tu..nakumbuka mamayangu alinipa wosia kuwa usikubali mwanaume akuchezee akikupenda mwambie twende kwa baba yangu mbezi ukajitambulishe ..mwalimu kapiga kiswahili nikawa simuelewi wakati huo nilikuwa na uhuru kidogo maana nilikuwa nakaa hosteli ..mwalimu nakumbuka alilia akiniambia naomba tunda..nikakataa..akalia sana..baaada ya kuniona nimekataa akaniambia siutalala kwangu leo nikajibu hapana..kama MUNGU vile aliniokoa Baba yangu akanipigia simu niko hapa hosteli kwenu uko wapi ? nikamjibu nipo posta...posta mbona kama upo sehemu yenye muziki sana? nikasema hapan ni gari la matangazo linapita..akaguna nakupa dakika kumi nione sura yako hapa ...nikajibu sawa baba nakuja...

Mwl nikamuaga akasema okey huku akiwa amenuna kwelikweli akaniambia ngoja nitakupeleka mpaka ubungo..tumefika hapa tanesco almanusura tupate ajali gari yake ikakwaruzwa na daladala.. nilibaki nikisema MUNGU wangu nisamehe..akaniambia usijali angetugonga angetulipa ..
Akanishusha pale darajani nikamwaga..akashuka kwenye gari akanikumbatia akisema nakupenda sana****** ..nilishindwa kumjibu mi nawaza Baba kaja kunitembelea nitamweleza posta nimeenda kufanyaje?...baada ya dakika chache akaniaga..huku akinipa buku teni..nakumbuka nilikwea gari fasta nikashuka hosteli nikamkuta mzee namsalimia akaniuliza una uhakika ulikuwa posta? nikajibu ndio ..alichoniambia hiyo tabia yako uliyoianza usipoacha mapema utanijua mim ni nani..nilichoka moyo ulikwenda kasi...

Lakin nayaandika haya nikiwa namwomba mwl wangu raia wa kenya anisamehe mim mwanafunzi wake kwa kumnyima tunda .pia nilikuwa sitarajii kitu kama hicho kutoka kwake..najua utakuwa unaperuzi huku ukiona huu ujumbe Naomba unisamehe

Ni mim mwanafunzi wako


nimekusamehe ila bado lengo langu lipo palepale,vp tunaweza kujigijigi kwa sasa? si umeshakua mkubwa binti mzuri
 
Kashatoa pengineee hapaa anajibaraguzaa tuuu au kasanuka ticha mambo iko fresh anajipigia chapuo
 
Back
Top Bottom