nisaidieni

mfereji maringo

JF-Expert Member
Nov 19, 2010
1,037
251
jamani laptop yangu ni toshiba, niliiformat, wakati naiformat sikuidelete os liyokuwepos sasa kuna os mbili, nahitaji kuiondoa os iliyokuwepo na nataka ibaki moja tu, sasa nifanyeje ili itoke bila kuiformat upya. naomba msaada tafadhali,
 
Yaani unavyoelza ni kama unamwambia mtu uliyenayekaribu anayejua

  • Hizo OS mbili ni ipi na ipi
  • Ni os gani unataka itoke na ipi unataka ibaki
Usipojitahidi kuwa clear utapata replies nyingi kama hii yangu bila kupata solution. So jitahidi kueleza ukielewa wachangiaji wako remote.

Kwa kutumia u Sheik Yahya though nahisi Unahitaji ku edit file la Boot. ini
 
os ya kwanza ni window 7, na ya pili ni xp professional, nahitaji kubaki na xp pro. msinichoke tafadhali,
 
os ya kwanza ni window 7, na ya pili ni xp professional, nahitaji kubaki na xp pro. msinichoke tafadhali,

Fuatala maelekezo haya kwanza ili tujie file lako la ku boot linasomekaje.
Assumption ni kuwa Unatumia XP kwa sasa.

  1. Right-click My Computer, and then click Properties.
  2. On the Advanced tab, click Settings under Startup and Recovery.
  3. Under System Startup, click Edit.
  4. uki click edit itafunguka note pad file yenye maneno. ebu copy na uya paste hapa hapo hayo maneno. Ili tuone mtiririko wa Hizo OS umekaaje
Otherwise
kama unaweza mwenyewe fuatilia maelekezo haya How to edit the Boot.ini file in Windows XP

NB
Baadhi Maelezo niliyokupa hapo juu pia nimeyatoa hapo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom