Nisaidieni.....

Nisaidieni.....

Mapera vipi, hayatakiwi? Nina miti mingi sana ya mapera nyumbani kwangu, nipeni deal bandugu!!!
ujue biashara ya mapera ni rahisi sana tutafanya biashara ya kupeleka mbegu za mapera ..tunakula mapera weeee kukifika huko tunawapa kinyesi chetu wanapata miche ya kutosha..so tutakuwa tunauza kinyesi
 
Angalia tu usitapeliwe. Kwa nini anataka mkaongelee mji mwingine na sio hapo ulipo? Usije ukachinjwa aisee.
 
si ndo na mi nikashangaa!
we sema unataka tufanye biashara wapi,lini,na nani,ipi,yuuze u ununue nini!
mi nauza mpka majani ya ng'ombe ehehehhee
ha haaa, hapo sasa, lol!
kweli uchaga umeingia kwa damu.....
hiyo sasa itabidi tukae kama kamati
cc. Smile
 
Last edited by a moderator:
ha haaa, hapo sasa, lol!
kweli uchaga umeingia kwa damu.....
hiyo sasa itabidi tukae kama kamati
cc. Smile
huyu mnyamwezi atanitega bana nipo weak sana kwa wqanyamwezi ujue..biashara haitafanyika hapa utashuhudia mengine
 
huyu mnyamwezi atanitega bana nipo weak sana kwa wqanyamwezi ujue..biashara haitafanyika hapa utashuhudia mengine
mnyamwezi gani tena unamwongelea wa kushindwa kuendelea na bizinesi?
 
Back
Top Bottom