marrykate
JF-Expert Member
- Mar 4, 2012
- 733
- 443
Hata ukichinja mbuzi, unakutana na ngozi, nyama, mapafu, mbavu kabla ya kukutana na moyo... Sasa watu wengine siku hizi kakutana na mtu leo jumatatu, kesho kutwa jumatano anataka ampe 'moyo'... Weeeee... there are many other 'organs' to offer before he/she deserves 'moyo'... ( na kwa bahati mbaya watu wengine wanahusisha kumpa mtu 'moyo' na kumpa papuchi...!!!)
hahahhaha Tuko bana, hebu nifundishe bana jinsi ya kubania moyo wangu, halafu niwe bize kutoa ngozi, na mapafu tu
seriously nataka kutunza moyo wangu kabatini kabisa