Nisaidieni wana mmu

hehehe havai kimini saa hizi kafunga bwana wee. ngoja mfungo uishe. hivi hii thread inahusu nini?
ahahahahhahahhaha King'asti mi staki!
by the way kile kimini cha pinki si umletee Da Sophy
kufundisha mtu kazi ujue!oh!

afu siku hizi umekuwa mamluki. kisa shemeji Boflo kaninunulia boyfriend watch. ntakununulia mchuchumio kuna mahali kuna sale ya maana
achana nae huyi king'asti
sasa kwani anajua maana ya funga?
ndo mana kayatamka hayo!
ila mi najua anayejua maana ya funga ,ngoja nimwite Kaunga hebu njoo huku bana utwambie maana ya funga King'asti hajui asee!
 
Last edited by a moderator:
Piga chini dogo,ukigundua ya nyuma ya pazia utajinyonga.
 

Bro!!kwa maelezo yako haina haja ya kwenda Mwanza..uyo kuna mtu anampenda na huyo mtu anamzingua so sababu kajua umekufa kwake,kaamua kukuegesha kama spea.
Kimbia tena faster,miaka 22 hawezi akawa na reason kama hizo.
 

Unauliza Mwanza kuna nini? Mbwana wa kisukuma si mchezo.......Poleni
 
kama unatakujua mtu tabia yake halisi ni kupata kipato kinachomwezesha kuishi. shituka
 

He he he, namuogopa da Sophy, nisije nikaingia kwenye black list yake
Ana Phd ya ugomvi na kurushana roho

kwani mmeshafunga ndoa? kumfuturisha mume wa mtu sio dhambi? Na ina maana hamkurubiani?Asante kwa kunielewesha. na mie ukinialika futari inshaallah nnaweza silimu.

Labda wamerekebisha hivi kifungu kwenye katiba
 
kwani mmeshafunga ndoa? kumfuturisha mume wa mtu sio dhambi? Na ina maana hamkurubiani?Asante kwa kunielewesha. na mie ukinialika futari inshaallah nnaweza silimu.

Ndoa unaijua au umesimuliwa? Au mwenzetu una cheti cha ndoa ndicho unachokiita ndoa? Na ni wapi ulikojifunzia hiyo dini ya kwamba kufuturu ni lazima kukurubiana? Suala la kusilimu ni kubwa na la maana sana huwezi kulinganisha na mwaliko wa futari tu.
 
wewe huna pesa tafuta pesa hivo vi10,000 usimuchoshe mutoto wa watu

sio ushauri wa kumpa mtu aliyeomba msaada, kama hauko tayari sio lazima kujibu post za watu, watu wengine mnakera sana unafikiri wewe hutokuja kupata tatizo! umekera watu na sio kwamba umefurahisha, jifunze kusaidia watu wakiwa na shida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…