Nisaidieni tafadhali nipate kibarua nipate chakula

Mama Diana

Member
Sep 2, 2011
16
1
tafadhali ndugu zanguni nahitaji msaada wa ajira kwani nimemaliza form 4 ila sina professional yoyote tafadhali. Nisaidieni tafadhali

Pole huna professiona yeyote...je uzoefu?

Umewahi fanya kazi gani huko nyuma???????

Ungependelea kazi gani......

Umri wako???????

Duh!pole sana mkuu,njoo huku moshi 2pge ishu za kupanda mlima mkuu!

tafadhali ndugu zanguni nahitaji msaada wa ajira kwani nimemaliza form 4 ila sina professional yoyote tafadhali. Nisaidieni tafadhali

Usikate tamaa! Bora we una hizo fomu nne. Mi mwenzio nina standadi saba na sijakata tamaa. Ila nakushauri ukipata kibarua usisahau kujiendeleza kielimu. Mimi kutokana na umri kuelekea machweo nimeamua kujikita ktk ujasiriamali ili nisomeshe wanangu yasiwakute yaliyonikuta. Kaza buti Mwaya!

Pole huna professiona yeyote...je uzoefu?
Umewahi fanya kazi gani huko nyuma???????
Ungependelea kazi gani......
Umri wako???????

Nina miaka 22 na nilishawahi kufanya kazi kiwanda cha konyagi. Nipo tayari kufanya kazi yoyote isipokuwa ubar medy na changudoa

Usikate tamaa! Bora we una hizo fomu nne. Mi mwenzio nina standadi saba na sijakata tamaa. Ila nakushauri ukipata kibarua usisahau kujiendeleza kielimu. Mimi kutokana na umri kuelekea machweo nimeamua kujikita ktk ujasiriamali ili nisomeshe wanangu yasiwakute yaliyonikuta. Kaza buti Mwaya!

Nashukuru love kwa courage, jamani niajiri pls

maswali meng hvo ya nin,c umsaidie 2 mdada wa wa2,au unataka we ndo uwe baba diana?

ni sahihi alichouliza kwn ni vyema mtu kujua sehemu anapoishi ili ujue msaada gani wa kumpa

naishi mbezi luois. Yaap diana ni mwanangu. Baba yake alinikana na alinikimbia.

na nani aliekuambia ukijiunga na jf utapata ajira na swali la umeijuaje jamii forums?

kuhusiana na ajira jaribu kuwa ulizia watu wa zoom au my goli wanaweza pia kukusaidia kwa elimu ulionayo. kwani hiyo ndio level muhimu sana ya elimu kwa tz..

Nakutakia kila la kheri attitude yako ni nzuri sana na nina uhakika utafanikiwa..., umeshajaribu kujiajiri kama mama lishe; biashara ndogo ndogo kama nyanya au kupika samaki na kuuza; n.k. nina uhakika utafanikiwa.., vitu kama kuuza uji au nyanya mtaji hauzidi hata elfu 20,000/= na kama una bustani nadhani unaweza ukapanda mchicha na mbogamboga kwa faida...

Nina uhakika utapata kipato kikubwa kuliko huko kuajiliwa kama muuza duka na masingamo mengi na kusingiziwa mwizi...; mfano kama utalipwa 100,000/= (ambayo sidhani) hii ni sawa ni chini ya 3,500 kwa siku na nina uhakika ukikaza buti hukosi 10,000 kwa siku kwenye biashara ya vitumbua, mboga, nyanya au juice..

pole sana mama diana me nipo arusha hapa ofisini kwetu kuna nafasi za wahudumu wa ofisi je waweza kufanya kazi arusha

Naishi Mbezi luois. Yaap Diana ni mwanangu. Baba yake alinikana na alinikimbia.

mmh! Pole sana mama diana.
Fata ushauri wa voice hapo chini, kupata mtaji unaweza kupita kwenye nyumba za watu na kuomba kazi za kufua, kuchota maji etc. kama unaweza kusuka uwe unatembelea watoto wa mabibo hostel upate tenda za kuwasuka au unaweza kuifanya hyo kazi hata kwako unapoishi..... Endelea kufikiria zaidi nini cha kufanya ila kama wadau mnaweza msaidie fanyeni hvyo.
NB: kuwa makini na maswali unayoulizwa hapa, kama kuna ulichodanganya endelea kudanganya maana ukijipindua tu unajiharibia. Yajibu yote maana ni ya muhimu.

Nakutakia kila la kheri attitude yako ni nzuri sana na nina uhakika utafanikiwa..., umeshajaribu kujiajiri kama mama lishe; biashara ndogo ndogo kama nyanya au kupika samaki na kuuza; n.k. nina uhakika utafanikiwa.., vitu kama kuuza uji au nyanya mtaji hauzidi hata elfu 20,000/= na kama una bustani nadhani unaweza ukapanda mchicha na mbogamboga kwa faida...

Nina uhakika utapata kipato kikubwa kuliko huko kuajiliwa kama muuza duka na masingamo mengi na kusingiziwa mwizi...; mfano kama utalipwa 100,000/= (ambayo sidhani) hii ni sawa ni chini ya 3,500 kwa siku na nina uhakika ukikaza buti hukosi 10,000 kwa siku kwenye biashara ya vitumbua, mboga, nyanya au juice..

Naunga mkono huu ushauri ni mzuri sana ila husisahau kujifunza kutokana na makosa hasa hilo la Form four mwaka jana na tayari umepigwa mimba na kuachwa kujifunza ni muhimu ili kosa lisijirudie tena.

Back
Top Bottom