Nina degree ya Accounting and Finance, natafuta kazi

Adrian2716

Member
Oct 23, 2023
98
287
Salaam kwa wana JF wote, naomba mwenye kibarua aniunganishe tafadhali nina miaka 26, nina diploma ya Accounting, na degree ya Accounting and finance.

Nipo mkoa wa Arusha, hata internship nafanya hata kusogeza mafile tu hamna tatizo, hata kwa siku mkinipa 2000 ni sawa tu kama nitakuwa nafanyia mkoa wa Arusha ndugu zangu najua mnajua hustle tunazo pitia ambao hatuna ajira na kukaa nyumbani ni shida unaweza lala hata njaa.

NISAIDIENI WAKUU
 
kila lakheri mkuu
 
Si nasikia Arusha kule kuna watu wana mawe mkuu?
 
Salaam kwa wana JF wote, naomba mwenye kibarua aniunganishe tafadhali nina miaka 26, nina diploma ya Accounting, na degree ya Accounting and finance.

Nipo mkoa wa Arusha, hata internship nafanya hata kusogeza mafile tu hamna tatizo, hata kwa siku mkinipa 2000 ni sawa tu kama nitakuwa nafanyia mkoa wa Arusha ndugu zangu najua mnajua hustle tunazo pitia ambao hatuna ajira na kukaa nyumbani ni shida unaweza lala hata njaa.

NISAIDIENI WAKUU
Kuna internship Kahama kwenye shirika la jamaa yangu kama unaweza una sehemu ya kuishi huko naweza kukuunganisha nae.
 
Back
Top Bottom