Kaunga
JF-Expert Member
- Nov 28, 2010
- 12,529
- 13,502
Unataka kuanzisha mahusiano mapya kwakuwa umekutana na unayempenda au kwakuwa yeye ana mahusiano mengine?
Umeongea naye kujua mustakabali wa ndoa yenu?
Wewe unataka nini? Maana ni lazima ujue unachotaka kwanza kabla ya kwenda kukidai.
Halafu kwanini alikuwa anakupiga (ingawa hakuna justification ya kupiga)? Hii itatusaidia kuestablish cause ya mpasuko wa ndoa yenu.

hapana sikuwa nabip nilipoondoka nyumbani kwangu nilijua nachofanya kwa usahihi mkubwa nachoomba hapa ni ushauri tu kama na mm ntakuwa rit nikianza mahusiano mengine wakati ni mke wa mtu wa ndoa na mume wangu adanidivorce wala kunipa chochote kilicho changu toka ndani ya nyumba yetu tuliyokuwa tunaishi pamoja.