Pole sana, adui huwa hapendi kuona ndoa zikiendelea, so ataleta vitu mbali mbali kuchochea vurugu kati yenu, pole sana.
Ushauri wangu ni mmjoja na naomba dada Gfswin aje kusaidia kwa kweli, au ukasome mahojiano yake yaliopita ijumaa.
Bahati mbaya kiapo cha ndoa (wakristo) kina condition moja tu ya kukivunja ambayo ni KIFO cha mmoja wa mwanandoa, vinginevyo si salama. Mlilie Mungu akurudishie mumeo na akumbuke kile kiapo chako na umdai Mungu mumeo, kama hatapenda kukurudishia mumeo, ukiomba kufunguliwa siriazile ... unajua nini kitatokea hapo ili mmoja awe huru. Jipe moyo dada yangu omba kwa bidii sana. Mungu atalitetea agano lenu kwa sababu yeye ni Mungu wa maagano.