Nisaidieni ndugu zangu....

Nisaidieni ndugu zangu....





Msikilize Diblo hapa na gitaa lake..
 
Last edited by a moderator:
Nafikiri ukiangalia Clip nyingi, utagudua kuwa Daliki Moko alikuwa juu kidogo ya Diblo Dibala. Daliki Moko alikuwa na uzoefu mkubwa sana wa siku nyingi tangu akiwa Kenya na safari yake nzima hadi kufika Soukous stars, Ufaransa.

Prince Makaba alikuja na Wenge Musica ambao walileta style nyingine na wakaachana na mziki wa speed kubwa wa Soukous style. Hii Style hadi leo hawajaachana nayo akina Werrason.

Diblo Dibala alikuwa anafika hatua anakuwa kama anashindwa kujua apiga vipi gitaa na mwisho anarudia rudia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom