Nisaidieni ndugu zangu....

Nisaidieni ndugu zangu....

Mpenzi angalia post ya tatu hapo juu...

ha ha ha....tena imenikumbusha kanyela langu kama hilo alilovaa Blaise Bula......nilikuwa nalo.......rangi hiyo hiyo mbele limeandikwa FUBU.......chezeyaa mimi....
 
Usimsahau Mpiga Solo wa Wenge bana, Alan Makaba-Prince. Huyu kijana alikuwa na bado ni mshenzi wa hili gitaa kwa huu upigaji wa kizazi kipya. Hakuna cha akina Kimbagu sijui wala nani wake, anawaacha mbali sana. JB Mpiana sauti yake, mhh... Ndiyo maana pamoja na Mkewe kuolewa na Didier Kinuani, Mzee wa Almasi, bado karudi kwa jamaaa achezeshwe MPUNDA.

 
Last edited by a moderator:
Wenge wakati ndiyo wanaanza. Je utamtambua Mpiana hapa? Hahahaha.... kalikuwa kembamba.....

 
Last edited by a moderator:
Michael Jackson mwingine wa Congo, STINO MUBI akiwa na kibao cha TANIA.

 
Last edited by a moderator:
Nakutakieni Weekend njema na mziki nyororooooo.....

 
Last edited by a moderator:
Usimsahau Mpiga Solo wa Wenge bana, Alan Makaba-Prince. Huyu kijana alikuwa na bado ni mshenzi wa hili gitaa kwa huu upigaji wa kizazi kipya. Hakuna cha akina Kimbagu sijui wala nani wake, anawaacha mbali sana. JB Mpiana sauti yake, mhh... Ndiyo maana pamoja na Mkewe kuolewa na Didier Kinuani, Mzee wa Almasi, bado karudi kwa jamaaa achezeshwe MPUNDA.





Hivi kaka kati ya Alain Makaba ,Dally kimoko na Diblo Dibala nani alikuwa anamzidi mwenzake kucharaza gitaa..??
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom