Nisaidieni, Nashangaa kwa nini nampenda Lowassa

Nisaidieni, Nashangaa kwa nini nampenda Lowassa

leo utakesha kwenye kila thread lkn lowasa ndo habari ya mjini...imekula kwenu mwaka huu...malofa na wapumbavu tumeamua

Endelea kuwa Lofa na mpumbavu, HAIWEZEKANI wananchi wote tujitambue kwa kukataa kudanganywa na kufanywa wapumbavu, lazima kuwe na watu ka wewe wa kutumika kama doormat, Ndo maisha yalivyo, ukichagua kuwa zezeta unakuwa zezeta kweli, wengine ambao 'waliopofuliwa' sasa wameanza kuona, mpaka 25.10, watakuwa wanaona fresh!!
 
Lakini mwalimu nyerere nimemsikia leo kwenye hotuba fupi, anasema ukimchagua mtu ushawishike toka moyoni kabisa, sasa magufuli nashawishika toka akilini lakini Lowassa toka moyoni kabisa, na ule ni usia wa baba, hata wewe utamkana baba?
Mwalimu ni genius, aliposema hivyo kuna factor zingine zinaendana na huo msemo wake kama usafi, uadilifu, uchapa kazi etc!!
 
Mwalimu ni genius, aliposema hivyo kuna factor zingine zinaendana na huo msemo wake kama usafi, uadilifu, uchapa kazi etc!!

Uadilifu hata ccm wana dosari za kujitakasa, na kashfa sio Richmond tu ni nyingi. Lakini kama magufuli aliwaombea kura viongozi wasiopendwa kwa kusema hatuchagui Malaika, Kwani Lowassa ni Malaika! Kwanini tusimchague?
 
lowasa anapendwa nawengi sana na sikuyakupiga kura nnaimani watu wengi wasiomsapoti sasaivi watajikuta tu wanampigia kura kwamaana ana kismat.kwa watu wa tanga wazigua wanasema ana ndele. yaani ninyota yakupendwa.
 
Mapenzi ya kweli kwa wagombea yatajulikana Oktoba 25. Sasa hivi ni ushabiki tu.
 
Mimi sikuwahi kumpenda, simpendi wala sitakaa nimpende lakini nitampa kura yangu oct 25. Chuki yangu kwa CCM hata angesimamishwa Wema Sepetu ningempa kura
 
Mpaka mwezi wa saba mwaka huu nilikua sivutiwi na Lowassa tena kwa sababu za kifisadi na kujaribu kujitahadharisha kwa misemo ya baba wa taifa dhidi yake. Ccm walipomchagua Dr magufuli nilisema wazi ya kuwa hapo wamepatia kabisa lakini kufika mwezi wa nane nimejikuta nampenda Lowassa pamoja na yote, moyo tu unaelekea hivyo. Hivi ndivyo mlivyojisikia na wengine au ni mimi tu?

Watu wengi wameamua kumpa sympathy zao kutokana na kilichomkuta kule Dom kwenye mchakato.
Hauko peke yako, hiyo ni hulka ya kimaumbile ya mwanaadamu.
 
Rabda atakuwa rais wa mondoli. Ila sio amili jeshi mkuu na rais wa jamuhuri ya tz. Bado sanaaaaaaa
Rabda - Labda , amili-amiri. Kwa uandishi huu nafikiri wewe ndio bado uko gizani unahitaji
tochi ambayo ni UKAWA/CHAGUA LOWASSA UPATE KUONA
 
lowasa anapendwa nawengi sana na sikuyakupiga kura nnaimani watu wengi wasiomsapoti sasaivi watajikuta tu wanampigia kura kwamaana ana kismat.kwa watu wa tanga wazigua wanasema ana ndele. yaani ninyota yakupendwa.

TB Joshua at work!
 
TB Joshua at work!

watashindana sana lakini hawata shinda. Walipokuwa wanamwona lowassa anatoa sadaka makanisani na misikitini na kuwasaidia wahitaji hawakujua alikua anafanya nini.

Ila wajue Mungu amezitakabali sadaka zake. Kama magufuli alikua na mkono wa birika hatoi kwa Mungu hasitegemee mbeleko.

Kila siku lowassa atazidi kupata nguvu. Kila anapokwenda maana kibali kipo juu yake. Na atapata kura nyingi sana. Hata wamchafueje Mungu yupo upande wake.
 
Mhh nlidhani niko peke yangu toka tukio la dodoma nmeamua kuikana ccm kwa moyo wangu wote na kuambatana na lowassa alipo nipo
 
Mpaka mwezi wa saba mwaka huu nilikua sivutiwi na Lowassa tena kwa sababu za kifisadi na kujaribu kujitahadharisha kwa misemo ya baba wa taifa dhidi yake. Ccm walipomchagua Dr magufuli nilisema wazi ya kuwa hapo wamepatia kabisa lakini kufika mwezi wa nane nimejikuta nampenda Lowassa pamoja na yote, moyo tu unaelekea hivyo. Hivi ndivyo mlivyojisikia na wengine au ni mimi tu?

Me mwenyewe nimeandika mara nyingi humu, nitamfuta dr slaa popote atakapoenda na ninasubiri tamko lake, cha ajabu baada ya tamko, moyo umegeukia kwa Lowasa, au nimelogwa?
 
Ni Mawazo yangu tu nadhani Huyu jamaa atakuwa Masonic Member sio bure, 2008 jina lake lilichafuka sana Akaitwa fisadi leo fisadi anakubalika loh, Binafi Mimi ntampigia Kura
 
Back
Top Bottom