Nisaidieni, Nashangaa kwa nini nampenda Lowassa

Nisaidieni, Nashangaa kwa nini nampenda Lowassa

geomos

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2014
Posts
625
Reaction score
175
Mpaka mwezi wa saba mwaka huu nilikua sivutiwi na Lowassa tena kwa sababu za kifisadi na kujaribu kujitahadharisha kwa misemo ya baba wa taifa dhidi yake.

CCM walipomchagua Dr magufuli nilisema wazi ya kuwa hapo wamepatia kabisa lakini kufika mwezi wa nane nimejikuta nampenda Lowassa pamoja na yote, moyo tu unaelekea hivyo.

Hivi ndivyo mlivyojisikia na wengine au ni mimi tu?
 
Hahahaaaaa mimi naendelea kula happy tu kwa kumpenda Lowassa.
Sijutii na wala sitokaa nijutie, karibu kwenye chama la friends of Lowassa mkuu, wala usijishangae.
 
Mimi ndo kabisa nimehama na chama nime amua kua cdm/ukawa na sasa hivi sitaki kusikia chochote nimegundua lowasa ni tishio kutokana na kuwa na maneno machache utendaji mkubwa hivyo anafanyiwa fitna kupita maelezo, tena nimesha shawishi nawengine kibao na tumeungana kumpuuza slaa.
Ccm imekua mzigo sana.

Hapa ni lowasa tu.
 
Hata mimi hivyohivyo. Sijui kwanini? Nadhani ni tatizo lakkisaikolojia.
 
Kwa sababu wewe ni 🇲🇵🇪🇳🇩🇦 🇲🇦🇧🇦🇩🇮🇱🇮🇰🇴...! Na lowasa ni Mabadiliko ya kweeli
 
Yes we are together
hiyo habari imenikuna ukweli hatamie huyu jamaaa namzimia ile mbaya kwakuwa:-
anamaamuzi magumu mtu wa kawaida hawezi thubutu kufanya hivyo
anaongea dk 08-15 point tupu zilizo shiba
haangaiki na watu wengine analenga kwenye mambo yake ya msingitu
hakurupuki kama wengine walo kamata meli na kuizamisha na sasa kodi zetu zinalipa wachina
asante mletaa mada
 
Ni upepo tu ndugu, wala usistaajabu. Hata wengne tulikua nae tukamhama..
 
Lowasa ndiye rais wa Tanzania. asiyetaka hilo aende akale bata Merekani(ha ha ha haaaa). Na identity ya urais wake ni shati flani amazing analopenda kuvaa kwenye mikutano yake.
 
Rabda atakuwa rais wa mondoli. Ila sio amili jeshi mkuu na rais wa jamuhuri ya tz. Bado sanaaaaaaa
 
Ukiwaa na akili timamu huwezi ukampenda mwanaume mwenzako. Hata mungu alisema itafikia kipindi wanadam watanisahau na watawapenda binadam wenzao kuliko mimi. Ivyo we ni mmoja wapo nimekubaini

anamtamtie mwemzako cyber crime
 
binafsi nilkuwa simpendi kabisa huyu mzee, kila kukicha mapenzi yanakuwa kwa kasi sana, sababu kubwa anaongea maneno machache ila anaongelewa na kuandikwa sana, Hata ikitokea akafa Kura yangu utaupata uendako, samahan siombei litokee tumkose rais lowasa
 
Back
Top Bottom