Nisaidieni nakaribia kuumbuka

Ushauri mzuri sana mdogo wangu, ila tafadhali subiri kwanza Pep amalize kupitia post zangu za nyuma usiniharibie ngekewa yangu 'tavazali' sana, huwezi jua wewe ndiye utakuwa mrusha maua wakati wa kuingia ukumbini..!! πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Nitaambia nini kamati ya roho mbaya nikiachwa kanisani na shela langu??
🀣🀣🀣 nitakua nimebeba nguo ya emergency hyo siku, mambo yakibuma tunaingia chemba unachange basi tunatoka zetu tunaenda mahala kula nyama kama sio sisi vile. Kwani sh ngapiπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ushauri mzuri sana mdogo wangu, ila tafadhali subiri kwanza Pep amalize kupitia post zangu za nyuma usiniharibie ngekewa yangu 'tavazali' sana, huwezi jua wewe ndiye utakuwa mrusha maua wakati wa kuingia ukumbini..!! πŸ˜‚ πŸ˜‚

lakini isipofika altareni si unajua nina first aid kit na leso za kutosha. Ila a shoulder to lean on ndo sina yaani itabidi nkutumie package ufanye self service πŸ˜€
 
Umenikumbusha mbali sana mkuu.
Jambo pekee ninaloweza sema hapa ni pole sana kwa wakati mgumu unao upotia, maana nami niliwahi kupitia hii hali ingawa yangu ikikuwa keshi kubwa kuliko yako.
 
Umenikumbusha mbali sana mkuu.
Jambo pekee ninaloweza sema hapa ni pole sana kwa wakati mgumu unao upotia, maana nami niliwahi kupitia hii hali ingawa yangu ikikuwa keshi kubwa kuliko yako.
Tena mkaamua kuweka huku na utu uzima wote huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…