Nisaidieni nakaribia kuumbuka

Ningepata mwanaume design yako anayejielewa hivi loh. I wish wanaume wangekuwa na mtazamo chanya hivo matatizo na machungu ya wengi yasingekuwepo
Cariha utampata tu, stay positive.

Nadhani tatizo kubwa ni kwamba wanadamu tumekua wabinafsi sana siku hizi.

Tukiachana na selfishness katika maisha in general tutakua katika position nzuri ya kuheshimu feelings za wengine. Empathy ni muhimu sana.

Ahsante sana kwa compliment, Cariha
 
I'm always positive and calm,
Watu wabinafsi why hurting innocent soul for ur selfishness desires.
Ni Bora usi commit kwa yoyote Mana Kuna swala la mda na hao wadada wangekuwa na option nyingine maisha yaendelee, nowadays watu waongo no real love kila mtu anajiingiza robo, robo Kuna kuwa no sense of real love even enjoyment, I wish even 70% of people wangekuwa empathy at least dunia ingekuwa safe place.
 
Mimi ni muoaji haswaa ila tu nahitaji best choice

Sio wanawake wote wenye roho za visasi
Be careful with battle you want to start my dear, grow wise and learn from positive people, it's seems ur still mvulana though you fuvk two gelz.
 
A girl to marry?

You should use wisdom man, that's a natural institution your going to have. That's the future. One shouldn't only be smart when deciding, use wisdom.

That whole time you've lived with them means you know them very well.

I only consider this order may help choosing good wife otherwise if you wanna use your emotions then do what you think.

One who;
1. Have faith in God (do not confuse with "everybody worshiping and attending that building in that every day)
2. Loves you ( she shouldn't love your property, wealth, career, you'll suffer because material lasts, souls love doesn't)
3. Loves your parents (She at least show signs of asking you a well-beingness of your parents if not your home family, curious about your background status and parents, this will make her love you and your life and people around you will be her people's too)

Then thank the Heavens later while in your 70th marriage anniversary
 
Word
 
😅 😅 😅
tuanze kuwa follow wedding planners wote wa IG..!!
Me nilikua nmeanza kupitia page za MUA hapa, hyo siku lazima utokee kama malkia flani hivi.
Na MC nishajua tumchukue yupi + venue. Nadhani hadi kesho jion mipango yote itakua imekamilika itabaki kusubiria tu hyo siku yenyewe.
 

One of the worst thing to do in life is blaming or judging someone for making a wrong choice or chose a certain path in life. Hakuna ambaye hajapitia hiyo stage or situation regardless of how small or big it was..

Pia Moja ya vitu common ni kuwa wote huwa tuna REASONS za kufanya hayo japo ni wachache huja mbele na kujua wapo wrong na kuchukua full responsibility of their actions....

Ok MR "RIGHT", jamaa kashajua what he did was WRONG na pengine mwanzoni hakujua situation atakayokuja kukutana nayo na ndio maana hadi sasa yupo GUILTY na anatamani kupata SOLUTION ambayo haitomuumiza mtu.

That only should tell you how good he is in person, wengine wasingejali so long as wanajali furaha zao. So , he is here seeking for an advice that 'll make a situation a bit easier for EVERYONE japo ni ngumu maana lazma mtu mmoja AUMIZWE.
 
Me nilikua nmeanza kupitia page za MUA hapa, hyo siku lazima utokee kama malkia flani hivi.
Na MC nishajua tumchukue yupi + venue. Nadhani hadi kesho jion mipango yote itakua imekamilika itabaki kusubiria tu hyo siku yenyewe.
Hivii Bw. Kharusi ana taarifa lakini..? tusije toleshwa machozi siku ya kharusi tukharibu make-up zetu.! 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…