Nisaidieni nakaribia kuumbuka

At least wee jamàa umevaa viatu vyangu. Umeangalia hili suala kwa jicho la tofauti.

Hivi mtu utajuaje kuwa chakula hiki ni kitamu zaidi ya kingine bila kuonja vyote Kisha uchague kimoja kilicho Bora zaidi ya kingine?
 
sasa ndoa ni yako, sisi ao wanawake hatuwajui na hatuelewi. yaani kuchagua yupi umuoe pia unashindwa. unajielewa kweli
 
Kwa ushauri wa huyo jamàa nachelea kusema si mtu wa kawaida lazma atakuwa mchungaji, sheikh au nabiii maana ameandika vitu conki sana mpaka amegusa mtima wangu
 
Fanya hivi chukua simu zao kaa nazo siku tatu utapata matokeo yupi wa kuoa yupi wa kuacha au utawaacha wote. Inaonekana hata kuwachunguza bado unachovya tu
Hii inamake sense pia japo mbinu hii ikifeli ugumu utaamia kwangu
Maana kilammoja atataka nae akae na cm yangu siku 3 hapo ndiopo nitakapo dakwa ubaradhuli wangu
 
Hii inamake sense pia japo mbinu hii ikifeli ugumu utaamia kwangu
Maana kilammoja atataka nae akae na cm yangu siku 3 hapo ndiopo nitakapo dakwa ubaradhuli wangu
itafeli wapi wakati wewe ndio mwenye maamuzi ya mwisho? Be a man
 
Waite sehemu wote wawili ila iwe sehemu ya wazi isiwe ndani wanaweza kukudhuru then wape ukweli afu waachie maoni kutoka kwao kama wakiamua kukuacha wewe sawa kama wakiamua uwaoe wote sawa oa wote kama dr fulani hivi
 
Asante sana kwa ushauri wako japo ushauri wako umenifanya nijihisi mkosaji nisiyestahili kusamehewa. Umenifanya nijichukie mwenyewe na sijui nianzie wapi kurekebisha makosa niliyoyafanya.
Mkuu

Ni muhimu sana umegundua hiyo guiltiness. Ni 1st step kuelekea kupata ufumbuzi.

Sasa basi, tukirudi katika ukweli, hapo katika wanawake wawili hakuna hata mmoja anafaa kuwa mke wako.

Nadhani masula ya ndoa yanatakiwa yaje natural sana kutoka moyoni mwako. Sasa kama wewe upo neutral tu kwamba unaweza muoa yeyote kati ya hao hiyo ni indication ya kwanza kwamba hakuna wakwako hapo.

Solution

Saikolojia inaonesha watu hu respond positively mambo mabaya ya kuwaumiza pale wanapokua wengi kuliko mmoja mmoja (wanasema msiba wa wengi ni harusi)

Kwa minajili hiyo basi, wakutanishe hao watoto wazuri wote kwa pamoja, uwaeleze ukweli. Itakua disappointment kwao ila psychologically itawasaidia wakigundua kwamba WOTE WAWILI walikua deceived.

Pia, hilo litawafanya wakuone ‘kiumbe cha ajabu’, watakapokuona hivyo, pain itageuka kuwa hate.

Mwisho, kilicho trigger hasira zangu hapa sio wewe ku cheat (ku cheat kunaweza tokea, japo sio jambo zuri….ila sasa hiili ni suala private la mtu na mtu depending unaheshimu vipi mahusiano yako, na unaweza vipi kucontrol hisia zako), suala la wewe ku promise ndoa kwa wote wawili hilo ndilo baya sana, inawezekana kuna wana kadhaa hao wanawake wamewakataa kwasababu tu ya kusubiri NDOA HEWA yako.

Kwa msingi huo hapo juu, I am very sorry chief kama nimeku attack sana. No offence intended ndugu yangu akili kijiko
 
Safi sana huu ni ushauri maridhawa kabisa nitaufanyia kazi bila shaka
 
We boya kwel.Et hawajui kama unatumia jf na ushasema hiyo avater ni picha yako
Mkuu licha ya kuwa hiyo picha ni yangu lakini haipo clear kiasi Cha kunijua kirahisi halafu nafahamu wao wapo bize sana na hata kupata muda wa kuingi jf ni mtihani sana
 
Hiv inakuaje mtu ana buy huu ujinga wa "nitakuoa"???
Mm sijawah aisee.
Hata mke wangu tu sikuwah kumuahid kama nitamuoa.
Kunaubaya gani ukimuahidi mtu utamuoa halafu usimuoe au ukamuoa kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…