In the first place you are just a selfish nigga
You are such an idiot that you are playing with two of them.
You should not marry any of them as you do not deserve them, Don’t you feel anytime that you are cheating on them.
Don’t You have your self respect?
How can you do such shit and without guilt you are roaming around?
Have you ever thought of how will their lives become once they come to know that you are cheating on them. Do you realize just because of people like you, most women have lost trust in the relationships. Do you realize how shit can it be?
Do you even think just for once for being such a jerk?
I just wish you don’t see your daughter crying for the same reason once she grows up. I wish your daughter doesn’t fall for someone like you.
Just remember KARMA is there! Whatever you do will come round to you only. No one else is going to pay for your sins!
And for god sake, leave those two girls. They deserve much better human being who doesn’t lie to himself atleast in front of the mirror.
God knows how you look at yourself.
Huyo wa kwanza alifanya uamuzi sahihi, huwezi kaa na mtoto wa watu kienyeji tu bila kwao kua na taarifa. Labda iwe familia ambayo haina utaratibu... Unataka mke nenda kwao kajitambulishe na fata taratibu zingine.mimi nilikua na wawili.
mmoja ambae ni mtu mzima yani 25+, nilimwambia abebe mimba yangu eti hataki mpaka aolewe. nikamwambia tu-move in together akakataa, eti babaake hatamuelewa.
wa pili nikamtia mimba akakubali kuiacha na ndo nipo nae mpaka kesho kutwa. huyu wa kwanza nimemwacha aolewe na babaake.
kujitambulisha kupogo. lazima niishi nae pamoja kwanza nione kama tutawezana. bado nipo sahihi kwa nilichotaka kukifanya. alikua anapenda sana fights so nilitaka niishi nae at least mwaka mmoja kabla ya kwenda kichwa kichwa kwao kujitambulisha halafu nikaja kujutia maamuzi yangu.Huyo wa kwanza alifanya uamuzi sahihi, huwezi kaa na mtoto wa watu kienyeji tu bila kwao kua na taarifa. Labda iwe familia ambayo haina utaratibu... Unataka mke nenda kwao kajitambulishe na fata taratibu zingine.
Sema tu ulikua unamtaftia kisingizio umuache sababu kukataa kubeba mimba kabla ya ndoa na kuishi unyumba kienyeji na wewe sio kigezo et hakufaa kua mke.
Okaykujitambulisha kupogo. lazima niishi nae pamoja kwanza nione kama tutawezana. bado nipo sahihi kwa nilichotaka kukifanya. alikua anapenda sana fights so nilitaka niishi nae at least mwaka mmoja kabla ya kwenda kichwa kichwa kwao kujitambulisha halafu nikaja kujutia maamuzi yangu.
Chonde chonde mkuu, tutakaopata shida ni sisi huku nyumbani, kwa hizi sifa sidhani kama Eyce mdogo wangu atalala nyumbani Leo..!! 😂Kama kunawatu walionielewa Basi wewe jamàa umenielewa vilivyo
then kabla ya kuchukua uamuzi wa kuomba ushauri humu jf sikudhani Kama nitapata mtu atakayeijua dhamira yangu kuwa kweli nimekosea lakini nahitaji njia nzuri ya kutafuta amani ya moyo. Wengi wameishia kunilaumu na kuniona mkosaji niliye dhaifu na sifai kuwa kichwa Cha familia.
Yote kwa yote nimegundua leo kambe jf Kuna watu wenye akili nyingi sana naweza sema wewe jamàa ni genius
be humble, hao wanalilia kuchungulia tu na si kingine[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Morning mke mwenza,
Hivii anathubutuje??
Hajui hii nafasi wenzie wanaililia??
Lenie na cute eyes naomba muanze mchakato, tushaanza kukiona kisiwa kutoka baharini huku.! Mambo ni muswano, Pep ndiyo nimekubali.!! 😌Truly, wewe Carleen ni package sana 👏
Nimefika hapa so far wanandoa jitahidini sana mfichiane madhaifu yenu mbele ya jamii
don't get so twisted Mr.,be humble, hao wanalilia kuchungulia tu na si kingine
Jana ulikua na was wasi tu bure my sis, me tangia comment ya kwanza ya shem Pep aliyokujibu nilijua mtafika mbali labda kuwe na mkono wa mtu.
morning darling, nimeshindwa kumuelewa kabisa au ndo sitaki nataka😂 😂 😂 😂
Morning mke mwenza,
Hivii anathubutuje??
Hajui hii nafasi wenzie wanaililia??
yaa hilo limeisha mbona 👌👌👌👌Ewaaaah'...!
Mke mwenza kwa akili hizi walaqhi' lazima hizo pesa tuzipate tu.!
Life ain't that serious.!!
Huyu mwenyewe aliyeandika hapa anaweza kuwa chuma kuliko mleta mada, we unahisi hajawahi kuumiza watoto wa watu?wanaume wote wangekua kama wewe ingekua raha sana....
Ina maana mama Anna mghwira hujamsikia?Tubu waache wote Anza upya huwapendi wote waongozwa na nyege huwezi kupenda vitu viwili kiasi Cha usawa kila mtu ni unique iweje uwapende wote . Nyie wanaume kwa kujitaftia laana, ukute wadada wa watu wanakupikia, kukufuia wakifikiria ndoa