Nisaidieni nakaribia kuumbuka

Kiingereza chako kilaini hadi raha
 
Awaache hao wanawake waende kwa wanaume wanaostahili kupewa huo upendo.
Huyu hastahili kabisa na anapaswa akae hivyohivyo mwenyewe maana hajitambui.
Unaweza kuta hata hao ma mAnz wana plan B zao wako kwenye game ya kupima upepo kama vile jamaa anavyofanya.

We ngoja awaache tu, ghafla utaskia wanaolewa fasta ndio utajiuliza imekuaje?
Kumbe na wao wanavi bomu vyao sema wanamsklizia tu jamaa
 
Wanawake zake ukute na yeye kapangwa watano hivi Hili life usimwamini mtu
 
But majority of them wallah
Kwa hili sikubaliani na wewe mkuu.
Binadamu hubadilika na hata mimi nimebadilika sana tu, sio tena yule wa matukio. Nimekuwa baba mzuri, mume mwema na ninampenda Mungu
 
Oa wote...wakikataa waache wote
Mkuu, hii kitu kama haijawahi kukupata unaweza ichukulia poa.
Binafsi ninamuelewa sana mleta mada, na hii hali inaweza sababisha ukatamani hata dunia ipasuke utoweke aiseeeeee
 
Power of wisdom💪
 
Unaweza kuta hata hao ma mAnz wana plan B zao wako kwenye game ya kupima upepo kama vile jamaa anavyofanya.

We ngoja awaache tu, ghafla utaskia wanaolewa fasta ndio utajiuliza imekuaje?
Kumbe na wao wanavi bomu vyao sema wanamsklizia tu jamaa

😂😂😂
Unataka kusemaje kaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…