Nisaidieni nahisi nina ngoma

Nisaidieni nahisi nina ngoma

jamii forum imepata wajambaji kila mtu anajisikia kutoa uzi
 
HUO UGONJWA UPO KWENYE AKILI YAKO NA ENDELEA KUPIMA IPO SIKU UTAPATA UNACHOTAFUTA
 
Jiue wewe!! Iyo ngoma Tayari
Si ulitaka chai chai .... Iweje ulalamike unaunguaaa ......!!!
 
Utakipata unachokitafuta ,we endelea kupima tu kila baada ya miezi mitatu.
 
Ndugu nisaidieni ushauri bla kunihukumu.Nikuwa sijawah kukanyaga hosptal tangu 2012 mwez wat3 lakini December mwaka jana kuna dem nlichepuka nae,bt nlvaa gwanda unfortunately gwanda lika burst bila kujua.

Ikabdi nianze kupga maombi about hiv.
Baada ya siku tatu nikambamba huyo dem amechepka na mtu mwngne.hapo ndpo niliuhisi ukimwi kwenye damu.

Nikapata msongo wa mawazo kla dakika. nkajtoa akili nkaenda kumulza kwa ukali na haya ndio majibu alinipa:-
"kwani ulienda peku"?
"Me nna ukmwi"

Hapo ndipo niliyashudia machozi yakntoka.na yeye alipoona akanambia anandanganya.
Nkaenda kuulizia story zake mtaani.Mungu wangu cv yake inatsha.
Hapo ndpo nlpoanza kuugua magonjwa ya ajab ajab baada ya wk mbl since 2medu.

Kama yafuatayo:-
Mwili kuchoka bila kazi.moyo kwenda kasi na maumivu ya kifua.
3rd wk-2jividonda mdomoni.
4th wk maumivu makali ya kichwa, mawenge,kukosa ham ya kula kiac kwamba nlikuwa nakula mara 1 kwa siku but kwa kulazmishwa
.
5th wk homa,jasho za usiku na mchana kwa wng , maumiv makal ya kfua.na savere constpation.
6th wiki maumivu makali ya koo,viungo,misuli na miguu kuwaka moto hasa usiku.

7th wk muungurumo wa tumbo usioacha pamoja na hisia kali za kujiua.namshukuru Mung ckujiua.
Basi nilikuwa na uhakika kuwa ni ngoma bt sikukata tamaa kuomba coz me ni mkrsto mzur.but nilihisi Mungu hanisikii coz nilitenda dhamb infact ilikuwa ka mara ya 2 hivi kudu tangu nizalwe.

Nikapima majibu yakaja neg but nilijua coz ilikuwa b4 3month.
Nikaenda hosptal kupima magonjwa mengne ka maralia by maralia rapid detect test(mrdt) neg bt baada ya zle wiki mbili nilipima nikawa na typhod so nilikuwa nmemalza doz ya cpro.

Nkapma tena neg.
Basi nikasubiri miez3 nkachue postive yangu coz dalili kadhaa zliendelea kama tumbo kuunguruma na nyingne bt hazikuwa kali.
Baada ya miez 2 nikamdaka yle dem nkampleka akapimwe majb neg.

Nikapata furaha ya wiki 1 tu nikarudi nyma nikasema nayeye hajafikisha miez3
Trh 28mwez wa3 miez mi3 ikafka nkaenda angaza nikapima majibu neg yule mpimaji akanambia kama kweli nimekaa miez 3 basi nisahau ngoma.kwamba haya madalili ni coz of stress.

Nikapita hosptal nikapima nikakutwa na malaria 4 na typhod nikachu dawa nikaenda ku2mia.
Bado nliendelea ktokujiamini huku nkijiteng na marafiki zang.
Nlkuwa mchesh lakini nikabadilka na kuwa kama ---- kuku aliyenyonyolewa akaachwa akimbie.

4th month nkaenda kpma tena.majb hiv neg bado nna typhod alaf amoeba maralia neg mrdt.nikatumia dawa rapiclav nyng had mkojo ukanuka dawa 2pu.

5th month tumbo bado lnaungurum ulmi umekuwa mweupe homa jion na headache na kkohoz nmeenda kupma nina UTI na malaria HIV neg nkaambwa npungze mawazo nmepewa doz zfuatazo:-
alu 4 maralia
Albendzole
cpro na nyngne cjaikariri.

Mpaka naandika hapo tumbo bado lina unguruma non-stop.ulmi bado n mweupe kujihisi kama wadudu wanatembea mwlini.nyama za mwili kutikisika znyewe na mkoja wa njano.

Nsaidien wadau .
1-je kuna uwezekano bado nna kruc coz bado cjian dispite nmepma mara 7 neg ndan ya miez 5.

2-Npme ugonjwa gan mwngne ka cio ngoma coz nmechoka kunywa madawa.Kuna dall nyngne mmeacha 2 kuzitaja koz zitakuwa nyingi.

TAFADHARI NISHAURINI MDOGO WENU.
Jaman shule zinafunguliwa lini
 
Mbona unaenda hospital Mara nyingi hivyo? Kula bia tupa mikono juu shusha shida chini
 
Endelea tu kupimapima,ipo siku utayapata majibu unayoyatafuta.
 
Mnamshauri wakati mtu hayupo jukwaani toka 2015
Endelea tu kupimapima,ipo siku utayapata majibu unayoyatafuta.
Ni msongo wa mawazo pole sana

Nenda kapime upate jibu la uhakika,na ukubali majibu utakayopewa,inawezekana huumwi ugonjwa huo lakini hofu huleta mauti ndugu yangu!
 
Yaan ngoja nipite tu ulivyoandika sasa kweli una stress,punguza stress kula bata
 
Dalili ulizozitaja zaweza kusababishwa na msongo wa mawazo, maambukizi ya magonjwa ya zinaa kama kaswende n.k au dalili za mwanzo za vvu.
Kama mlipimwa wote na mwenzio akaonekana yu salama basi usalama upo kwa zaidi ya 60%
Uhakika wa kuwa hujaambukizwa ni kupima baada ya miezi 6, lakini kuna dalili za magonjwa mengi zinazofanana na hizo za vvu.
Na kama hapakutokea michubuko uwezekano wa kuambukizana vvu ni mdogo. Nakushauri uondoe msongo wa mawazo na chunguza dalili za kaswende.
 
Nadhani unataka upate hiv mwombe Mungu wako naye atakujalia hiv puss we
 
dogo ukmwi sio kufa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ,pili chunga sana ukipata ukimwi utakufa mapema sana
 
Back
Top Bottom