Nisaidieni nahisi nina ngoma

Nisaidieni nahisi nina ngoma

Mr eagerbee hamna nyngne ndo hiyo 2 mkuu and it was the worst nightmare in life.
Anyway najaribu kufuata ushaur wa dr
Do you think nina over react.

Sidhani ka unaovereact I'm thinking you are hiding something
 
Kama una ngoma nakuongezea gitaa na keyboard halafu tunafungua bendi mkuu !au vp
 
Heeeeeeeeee!
Taratibu dogo!
Tuliza akili hiyo mistress unayojipa ya nini?
Ulitaka uambiwe uko positive ndo ungekuwa na amani?
Spare wino wako!lilikuwa ni funzo kwenye maisha
Litumie kuthamini zawadi ya pumzi pumzi uliyopewa na Muumba wako!
Halaaaafu wachana na kabila hiyo ya maandishi inakeeeeeeera!

Asante kiongoz.I needed caring people like you.
You realy make the world a better place 2 live.Once again sory 4 mwandiko.
 
Nenda kamwone psychiatrist, mtaalamu wa magonjwa ya akili. Ukifanyiwa review kamili atakupa dawa, na hasa ushauri.
 
....hata utapiamlo unaua,dalili zote unazo na utakubeba...
 
Asante kiongoz.I needed caring people like you.
You realy make the world a better place 2 live.Once again sory 4 mwandiko.

Hiki kiingereza si muwe mnaandika kwa lugha maridhawa ya kiswahili hadi macho yanaona aibu kusoma.
 
Ndugu nisaidieni ushauri bla kunihukumu.Nikuwa cjawah kukanyaga hosptal tangu 2012 mwez wat3 lknDecember mwaka jana kuna dem nlichepuka nae,bt nlvaa gwanda unfortunately gwand lka burst bla kujua.ikabdi nianze kupga maombi about hiv.
Baada ya cku tatu nkambamba hyo dem amechepka na m2 mwngne.hapo ndpo nliuhic ukimwia kwenye damu.
Nikapata mxongo wa mawazo kla dkk.nkajtoa akl nkaenda kumulza kwa ukali na haya ndio ndio majib alipa:-
"kwan ulienda peku"?
"Me nna ukmwi"
Hapo ndpo nlyashudia machoz yakntoka.na yeye alpoona akanambia anandanganya.
Nkaenda kuulzia ctor zake ktaa.Mungu wangu cv yake inatsha.
Hapo ndpo nlpoanza kuugua magonjwa ya ajab ajab baada ya wk mbl since 2medu. Kama yafuatayo:-
Mwil kuchoka bla kaz.moyo kwenda kasi na maumiv ya kfua.
3rd wk-2jvdonda mdomon.
4th wk maumiv makal ya kchwa, mawenge,kukosa ham ya kula kiac kwamba nlikuwa nakula mara 1 kwa ck bt kwa kulazmishwa.
5th wk homa,jasho za usiku na mchana kwa wng , maumiv makal ya kfua.na savere constpation.
6th wk maumiv makal ya koo,viungo,misul na miguu kuwaka moto hasa ucku.
7th wk muungurumo wa tumbo ucioacha pa1 na hcia kal za kujiua.namshukuru Mung ckujiua.
Bac nlikuwa na uhakka kuwa ni ngoma bt ckukata tamaa kuomba coz me n mkrsto mzur.bt nlhic Mung hanickii coz nlitenda dhamb infact ilikuwa ka mara ya 2 hv kudu tang nzalwe.
Nkapma majb yajbu yakaja neg bt nljua coz ilkuwa b4 3month.
Nkaenda hosptal kupma magonjwa mengne ka maralia by mrdt maralia neg bt baada ya zle wk mbili nlpma nkawa na typhod xo nlkuwa nmemalza doz ya cpro.
Nkapma tena neg.
Bac nkasubr miez3 nkachue postve yang coz dalili kadhaa zliendelea kama 2mbo kuunguruma na nyngne bt hazkuwa kal.
Baada ya miez 2 nkamdaka yle dem nkampleka akapmwe majb neg.
Nkapata fraha ya wk 1 2 nkarud nyma nkaxema nayeye hajafkisha miez3
Trh 28mwez wa3 miez m3 ikafka nkaenda angaza nkapma majb neg yle mpmaj akanambia kama kwel nmekaa miez 3 bac nxahau ngoma.kwamba haya mawazo n coz of stress
nkapta hosptal nkapma nkakutwa na malaria 4 na typhod nkachu dawa nkaenda ku2mia.
Bado nliendelea ktokujiamn hku nkjteng na marafk zang.
Nlkuwa mchez lkn nkabadilka na kuwa kama ---- kuku alyenyonyewa akaachwa akmbie.
4th month nkaenda kpma tena.majb hiv neg bado nna typhod alaf amoeb maralia neg mrdt.nkatumia dawa rapiclav nyng had mkojo ukanuka dawa 2pu.
5th month tumbo bado lnaungurum ulmi umekuwa mweupe homa jion na headache na kkohoz nmeenda kupma nna uti na na malaria HIV neg nkaambwa npungze mawazo nmepewa doz zfuatazo:-
alu 4 maralia
Albendzole
cpro na nyngne cjaikarr.
Mpaka naandka hapo 2mbo bado lna unguruma non-stop.ulmi bado n mweupe kujhc kama wadud wanatembea mwlin.nyama za mwl kutkcka znyewe na mkoja wa njano.
Nsaidien wadau .
1-je kuna uwezekano bado nna kruc coz bado cjian dispite nmepma mara 7 neg ndan ya miez 5.
Npme ugonjwa gan mwngne ka cio ngoma coz nmechoka kunywa madawa.Kuna dall nyngne mmeacha 2 kuztaja koz n nyng TAFADHARI NISHAURINI MDOGO WENU CJUI CHA KUDO NA MKWEPA BEBY WANG NAOGOPA KUMWAMBUKIZA KOZ NAMPENDA XANA ILA ANAHC KAMA NATAKA KUMTEMA.TAFADHAL NSAIDIEN.

This is a Marathon stress! Keep cool, let ur heart dwell with tranquility coz I've no reason to question about ur okness of ur blood after such Marathon test.!
 
Mie nimechoka kusoma. Maana maneno ulivyoyaandika inakera kusoma

Xaxa
Kpma
Majb
Ulmi

Zfuatazo
Alaf
Mrdt

Mrdt yuko sawa ni abr ya malaria rapid diagnostic test mengine anayajua mwenyewe anaonekana ni xaxa generation mkuu
 
yani tunaopiga kavukavu nyama kwa nyama wala hatuna hofu wala stress nashangaa huyu anayebanduwa mwenyewe sawa na mastabesheni kwa kuvaa micondon anakuwa na bp na shell juu.

hizi mambo mtuachie askari wa miamvuri tumeshavaa mabomu ready for whatever wala sina nia ya kuwa mlinzi wa dunia.
 
Kwa maelezo yako jibu ninalo ila sina taaluma ya jinsi ya kuwasilisha.
 
We tulia huna ngoma ila usivue vue ovyo, nyie mnaojaribu mara 1 moja nyie ndio mnapata shida. Chagua moja uwe muaminifu ama piga k kweli kweli, kuwa vgvg ni janga
 
pole una stress hadi unaandika kitoto toto
 
Realy? Na kukaendaje?
Ulihisi ni nini? na shida ilikuwa nini?

Nilikuwa naumwa ila sikujua ni ugonjwa gani,

Daktari aliniambia naumwa kisaikolojia.

cha kufanya ni kufanya vitu vitakavyokuweka busy kuacha hayo mawazo
 
Back
Top Bottom