Nisaidieni nahisi nina ngoma

Nisaidieni nahisi nina ngoma

Ukome kuzini hovyo hovyo bila kuzingatia sheria, kanuni na taratibu.
 
Ebana ukienda kucheki kwenye JF doctor kuna ugonjwa gani sijui waliutaja kwenye post jamaa alikua anaogopa kupima..huo ugonjwa una dalili zote za ngoma aiseee....
 
Yaani kapima kabisa yupo fresh lakini bado anaogopa.

Wengine hata kupima tunaogopa lakini ukituona tunavyodunda mtaani,utasema tupo negative.

Relax brother,jichanganye na wadau,piga tizi na jitibu unachoumwa.

Tumia mlonge utarudi kuwa poa.
 
Next time ukienda kupima tena mwambie daktari unatakaa majibu ya HIV yawe positive I hope nae atakupa haja ya moyo wako halafu uanze dozi ya ARV saw a?? Nadhani unaupenda Sana huu ugonjwa

mkuu wazo kama langu amepimwa kaambiwa yupo safi bado haamini basi ampe yeye majibu dr.
 
Next time ukienda kupima tena mwambie daktari unatakaa majibu ya HIV yawe positive I hope nae atakupa haja ya moyo wako halafu uanze dozi ya ARV saw a?? Nadhani unaupenda Sana huu ugonjwa

Hahahaa haaaa
Nimecheka
Hope ataridhika mkuu
 
Ahsanten sana na sory kwa uandishi.
Ni kwel ndom ili burst na nmeshapima had miez mi5.na dr kasema ni conclusive.

Knachonisumbua ni hili lisilotaka kunyamaza na ulimi mweupe.
Na sio kwamba nilikua nao since then coz i never had any risk apart from hyo ndom burst.
And i rarely get sick.

Ww kuchek full blood picture
Umekariri dalili za ukimwi?
Acha hizo ukimwi unaujua unausikia?

Kuna magonjwa mengi sikuhizi ss ww ng'ang'ana na ugonjwa ambao umeshapima na umeambiwa huna kumbe una tatizo lingine ukija kugungua too late.

Kingine ushaweka akilini kuwa una huo ugonjwa ndo maana unapata na stress za ajabu
 
Kamurakenge ni wazi kuwa huna ukimwi. Sasa kuhusu typhoid tafadhali acha kupima na kutumia dawa. Ni kwamba unapotumia dawa za typhoid na kumaliza dozi, kinga ya mwili huwa juu hivyo kipimo kuonyesha kuwa bado una ugonjwa huo kumbe sio. Hii niliisikia jana toka afya cheki ya dk izak maro wa clouds tv. Inatakiwa upime typhoid.baada ya miezi 5 hadi 6 baada ya kutumia dozi. Cha msingi tuliza akili na kula vizuri.

Pia yaonyesha unaendekeza sana kujichua.
 
Last edited by a moderator:
Kwanza umedanganya, umesema mpira ulipasuka si kweli wewe utakuwa ulipiga peku.

Pili unaonyesha ni mhuni kama wahuni wengine tu na si mlokole kama ulivojinadi kuwa unafanya maombi.

Tatu unaonyesha kama bado upo kwenye foolish age, zingatia masomo kwanza mengine utakutana nayo baadaye.

Short and clear !!
 
Nilikuwa naumwa ila sikujua ni ugonjwa gani,

Daktari aliniambia naumwa kisaikolojia.

cha kufanya ni kufanya vitu vitakavyokuweka busy kuacha hayo mawazo

Poa asante mkubwa ntajitahidi kufanya hivyo.
Anyway na mie dr kana mbia ni kisaikolojia.
 
Kamurakenge ni wazi kuwa huna ukimwi. Sasa kuhusu typhoid tafadhali acha kupima na kutumia dawa. Ni kwamba unapotumia dawa za typhoid na kumaliza dozi, kinga ya mwili huwa juu hivyo kipimo kuonyesha kuwa bado una ugonjwa huo kumbe sio. Hii niliisikia jana toka afya cheki ya dk izak maro wa clouds tv. Inatakiwa upime typhoid.baada ya miezi 5 hadi 6 baada ya kutumia dozi. Cha msingi tuliza akili na kula vizuri.

Pia yaonyesha unaendekeza sana kujichua.

Asante kiongozi.
 
Last edited by a moderator:
Ww kuchek full blood picture
Umekariri dalili za ukimwi?
Acha hizo ukimwi unaujua unausikia?

Kuna magonjwa mengi sikuhizi ss ww ng'ang'ana na ugonjwa ambao umeshapima na umeambiwa huna kumbe una tatizo lingine ukija kugungua too late.

Kingine ushaweka akilini kuwa una huo ugonjwa ndo maana unapata na stress za ajabu
Asante kwa ushauri mkuu ntafanya hivyo.
 
Yaani kapima kabisa yupo fresh lakini bado anaogopa.

Wengine hata kupima tunaogopa lakini ukituona tunavyodunda mtaani,utasema tupo negative.

Relax brother,jichanganye na wadau,piga tizi na jitibu unachoumwa.

Tumia mlonge utarudi kuwa poa.

Shukran kiongoz kwa hiyo hiyo milonge ndo inatumikaje?
 
Ndugu nisaidieni ushauri bla kunihukumu.Nikuwa sijawah kukanyaga hosptal tangu 2012 mwez wat3 lakini December mwaka jana kuna dem nlichepuka nae,bt nlvaa gwanda unfortunately gwanda lika burst bila kujua.

Ikabdi nianze kupga maombi about hiv.
Baada ya siku tatu nikambamba huyo dem amechepka na mtu mwngne.hapo ndpo niliuhisi ukimwi kwenye damu.

Nikapata msongo wa mawazo kla dakika. nkajtoa akili nkaenda kumulza kwa ukali na haya ndio majibu alinipa:-
"kwani ulienda peku"?
"Me nna ukmwi"

Hapo ndipo niliyashudia machozi yakntoka.na yeye alipoona akanambia anandanganya.
Nkaenda kuulizia story zake mtaani.Mungu wangu cv yake inatsha.
Hapo ndpo nlpoanza kuugua magonjwa ya ajab ajab baada ya wk mbl since 2medu.

Kama yafuatayo:-
Mwili kuchoka bila kazi.moyo kwenda kasi na maumivu ya kifua.
3rd wk-2jividonda mdomoni.
4th wk maumivu makali ya kichwa, mawenge,kukosa ham ya kula kiac kwamba nlikuwa nakula mara 1 kwa siku but kwa kulazmishwa
.
5th wk homa,jasho za usiku na mchana kwa wng , maumiv makal ya kfua.na savere constpation.
6th wiki maumivu makali ya koo,viungo,misuli na miguu kuwaka moto hasa usiku.

7th wk muungurumo wa tumbo usioacha pamoja na hisia kali za kujiua.namshukuru Mung ckujiua.
Basi nilikuwa na uhakika kuwa ni ngoma bt sikukata tamaa kuomba coz me ni mkrsto mzur.but nilihisi Mungu hanisikii coz nilitenda dhamb infact ilikuwa ka mara ya 2 hivi kudu tangu nizalwe.

Nikapima majibu yakaja neg but nilijua coz ilikuwa b4 3month.
Nikaenda hosptal kupima magonjwa mengne ka maralia by maralia rapid detect test(mrdt) neg bt baada ya zle wiki mbili nilipima nikawa na typhod so nilikuwa nmemalza doz ya cpro.

Nkapma tena neg.
Basi nikasubiri miez3 nkachue postive yangu coz dalili kadhaa zliendelea kama tumbo kuunguruma na nyingne bt hazikuwa kali.
Baada ya miez 2 nikamdaka yle dem nkampleka akapimwe majb neg.

Nikapata furaha ya wiki 1 tu nikarudi nyma nikasema nayeye hajafikisha miez3
Trh 28mwez wa3 miez mi3 ikafka nkaenda angaza nikapima majibu neg yule mpimaji akanambia kama kweli nimekaa miez 3 basi nisahau ngoma.kwamba haya madalili ni coz of stress.

Nikapita hosptal nikapima nikakutwa na malaria 4 na typhod nikachu dawa nikaenda ku2mia.
Bado nliendelea ktokujiamini huku nkijiteng na marafiki zang.
Nlkuwa mchesh lakini nikabadilka na kuwa kama ---- kuku aliyenyonyolewa akaachwa akimbie.

4th month nkaenda kpma tena.majb hiv neg bado nna typhod alaf amoeba maralia neg mrdt.nikatumia dawa rapiclav nyng had mkojo ukanuka dawa 2pu.

5th month tumbo bado lnaungurum ulmi umekuwa mweupe homa jion na headache na kkohoz nmeenda kupma nina UTI na malaria HIV neg nkaambwa npungze mawazo nmepewa doz zfuatazo:-
alu 4 maralia
Albendzole
cpro na nyngne cjaikariri.

Mpaka naandika hapo tumbo bado lina unguruma non-stop.ulmi bado n mweupe kujihisi kama wadudu wanatembea mwlini.nyama za mwili kutikisika znyewe na mkoja wa njano.

Nsaidien wadau .
1-je kuna uwezekano bado nna kruc coz bado cjian dispite nmepma mara 7 neg ndan ya miez 5.

2-Npme ugonjwa gan mwngne ka cio ngoma coz nmechoka kunywa madawa.Kuna dall nyngne mmeacha 2 kuzitaja koz zitakuwa nyingi.

TAFADHARI NISHAURINI MDOGO WENU.
Dalili hizo ni kuwa una msongo wa mawazo sana na pia kuto kula cha msingi kunywa maji mengi fanya mazoezi na jiamini kuwa huna. Maana kama umepima mara zote na hakuna kitu basi we kula bata.
 
unasumbuliwa na stress ambazo zinakusababishia maradhi hayo kutokana na mawazo yko kuhisi umeathirika. ushauri wangu nenda kwa mtaalamu wa kisaikolojia akueke sawa urudi hali yako ya kawaida kama zamani thn hta hyo magonjwa yataisha yenyewe baada ya mawazo kubadilika
 
Back
Top Bottom