Wengi Yametukuta hayo mtu unapima ngoma mpaka akili ina sizi kitu ni NEGATIVE lakini mwili bado upo vibaya tumuombe Mungu tu Ndugu YanguAhsanten sana na sory kwa uandishi.
Ni kwel ndom ili burst na nmeshapima had miez mi5.na dr kasema ni conclusive.
Knachonisumbua ni hili lisilotaka kunyamaza na ulimi mweupe.
Na sio kwamba nilikua nao since then coz i never had any risk apart from hyo ndom burst.
And i rarely get sick.