nisaidieni kwa hili. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

nisaidieni kwa hili.

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Miwatamu, Oct 29, 2012.

 1. Miwatamu

  Miwatamu JF-Expert Member

  #1
  Oct 29, 2012
  Joined: Oct 2, 2012
  Messages: 1,453
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 133
  Jamani kama unataka ku- MP mtu unafanyaje? au kuna ulazima wa namna ya kujisajili? naomba msaada kwani kila nikijaribu nashindwa.
   
 2. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #2
  Oct 29, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  unatumia simu ama computer??
   
 3. Miwatamu

  Miwatamu JF-Expert Member

  #3
  Oct 29, 2012
  Joined: Oct 2, 2012
  Messages: 1,453
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 133
  Mkuu samahani kwa kuchelewa kuku reply. Natumia Computer Lapotop.
   
 4. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #4
  Oct 29, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  mkuu kwanza PM ni kifupi cha neno Private Message,
  :focus:
  ukitaka kuPM user mkono wa kushoto kwenye jina lake uki click kutatokea some options chagua Private Message kisha itaopen page ambapo utahaza subject na body,
  unaweza jaribu kuniPM
   
Loading...