---I think ni kitu kimoja sema level tofauti.
Nashukuru mtaaalam wangu💪🏻💪🏻💪🏻Eli Cohen unahoja, na inatakiwa ujibiwe.
---
Istilahi za Kingono
1. UZINZI (Adultery)
---
- Maana: Tendo la ndoa la hiari kati ya mtu aliyefunga ndoa na mtu mwingine ambaye si mke au mume wake halali.
- Kigezo Muhimu: Kuvunjwa kwa agano la ndoa. Lazima angalau mshiriki mmoja awe ndani ya ndoa.
- Mukhtasari: Ngono inayohusisha mtu aliye kwenye ndoa na mtu asiye mwenzi wake.
2. UFUSKA (Fornication / Sexual Immorality)
---
- Maana: Istilahi pana inayojumuisha vitendo vyote vya kingono visivyo halali au kinyume na maadili, hasa tendo la ndoa kati ya watu wawili ambao hawajafunga ndoa (wote wawili).
- Kigezo Muhimu: Upotovu wa kimaadili kijinsia kwa ujumla. Haufungwi na hadhi ya ndoa pekee. Uzinzi ni aina maalum ya ufuska.
- Mukhtasari: Ngono yoyote nje ya ndoa, hasa kati ya watu wasiooana.
3. UASHERATI (Prostitution / Debauchery / Lewdness)
---
- Maana: Mara nyingi hutumika kumaanisha ukahaba (kufanya ngono kwa malipo). Kwa maana pana zaidi, ni mtindo wa maisha wa upotovu uliokithiri, ulafi wa ngono, na vitendo vya aibu vya kimwili.
- Kigezo Muhimu: Mara nyingi huhusisha malipo (biashara) au tabia sugu ya kujihusisha na ngono na watu wengi bila mpangilio (promiscuity). Ni kiwango cha juu cha upotovu.
- Mukhtasari: Ngono ya kibiashara au maisha ya ulafi wa ngono uliopitiliza.
Acha mihadaratiUnzinzi ni kufanya mapenzi kwa njia ya kujichua kwa kutumia mifuko..yaani unakamata nzi wengi alafu unawaweka kwenye mfuko then unachukua mfuko unatoboa kidogo kisha unaingiza dhakari baada ya hapo wale nzi wanaanza kukuchezea weee akiwa na imani ya kutoka. Hapo tunapata neno unzinzi yaani nzi wengi..
Leo tuishie hapa
Uzinzi ni pale agano la ndoa linapovunjwa, yaani mtu aliye kwenye ndoa afanye tendo la ndoa na mtu ambaye sio mume/mke wake. kama wote wako kwenye ndoa bado itaendelea kuwa uzinzi.
Hii dhakari sheihk ni zinaaUnzinzi ni kufanya mapenzi kwa njia ya kujichua kwa kutumia mifuko..yaani unakamata nzi wengi alafu unawaweka kwenye mfuko then unachukua mfuko unatoboa kidogo kisha unaingiza dhakari baada ya hapo wale nzi wanaanza kukuchezea weee akiwa na imani ya kutoka. Hapo tunapata neno unzinzi yaani nzi wengi..
Leo tuishie hapa
ManinaUnzinzi ni kufanya mapenzi kwa njia ya kujichua kwa kutumia mifuko..yaani unakamata nzi wengi alafu unawaweka kwenye mfuko then unachukua mfuko unatoboa kidogo kisha unaingiza dhakari baada ya hapo wale nzi wanaanza kukuchezea weee akiwa na imani ya kutoka. Hapo tunapata neno unzinzi yaani nzi wengi..
Leo tuishie hapa
Kubabake 😂😂😂😂Manina