abdallah_ juma
New Member
- May 24, 2019
- 4
- 2
Wanajamiii wenzangu nahisi kufa jamani. Sina kazi nahangaika labda yeyote aweze nisaidia kwa kweli. Diploma ndio elimu yangu.
Mawasiliano: 0654 320 392
Mawasiliano: 0654 320 392
Diploma ya kitu gani?? & inaishi wapi?Wanajamiii wenzangu nahis kufa JAMANII Sina kazi naangaika labda yeyote aweze nisaidia kwakweli diploma ndio elimu yngu
0654320392
Kuikweli humu msaada 0% sikuhizi unaomba msaada na kila info unaweka lkn huna unachoambulia kama ni mdada unapata mtongozo tuDiploma ya kitu gani?? & inaishi wapi?
Weka info hadharani mkuu
Diploma ya kitu gani?? & inaishi wapi?
Weka info hadharani mkuu