NILHAM RASHED
JF-Expert Member
- Nov 29, 2010
- 1,622
- 43
Uktih Niliham, Mambo ya mapenzi ni uwanda mpana sana na kuna mambo mengi yenye kusababisha kupungua kwa mapenzi na kuto kuaminiana...! Sababu kubwa ya wanandoa kuchokana, kunasababishwa na wana ndoa wenyewe, pale ambapo mtashindwa kutumia nafasi yanu na vipawa malivyopewa kuleta utulivu katika ndoa yenu...! Hii yote ni kutokuwa na akhlaaq nzuri. Mambo mengine usababishwa na Kutokuwa na Imani na Taqwa inayohitajika, Watu kuingia katika ndoa bila ya kujua haki na majukumu yake, Ukabila na utaifa na mambo ya kadha wa kadha...!
Kuna msemo mmoja wa kiswahili unasema hivi "Mapenzi ni shamba lenye kuitaji mbolea na kupaliliwa"
Duh.... Pole nimpendaye..... nini kimekutokea? Aidha, tumshukuru Allah.....!
Tunu ya yule aishie maisha ya usafi (chastity) ni kumpata mke au mume mwema /mwaminifu.Hapo Shabash!!!!!!, Umesema Ukweli, Uaminifu Upo tena kwa sana!!, huwezi kuuona kwa macho!!, Uki- jiamini wewe mwenyewe, mungu atakudhihirishia wazi peupe ukitendewa. Majaribio mengi, upitapo uuwazi mwingi sana( Soko Huria). Jambo ni kuamini Mwenyezi mweza wa yote!!!!
Wewe ni mwaminifu?mh huwa napata wasiwasi kama konakali labda upo lakini umejificha wapi mbona yote tunayokutana nayo yanakatisha tamaa anyway ngoja niishie hapa
Tunu ya yule aishie maisha ya usafi (chastity) ni kumpata mke au mume mwema /mwaminifu.
Nightangale of the ParadiseNightangale.....??????? You are.....????
ohh.....! very sorry unconditionally... i didn't pass through that thread dear...... then let me go there dear......waona jinsi gani hunijali na kunidanganya tuu hua sipendi kurudia nilichonacho kuonyesha na kujitambulisha how u care about me hii ndio fursa ningekuona tangu asubuhi nilipotuma thread ya kwanza headline nashkuru nimerudi lakini kwa kimya cha kimya takriban 5days hukutaka kuniuliza au hata pm wewe sikukuta walionipokea na kunipenda na kunijali ndo niliowakuta kama utataka kujua nini kilinikuta utanitafuta kwa post niliokwambia,,,,i'm not happy yet...and please do not reapeat the question u ask..
Ndio hapo mimi nashangaa mtu anapotaka uamini tofauti na unayoyaona..... Mungu tukimwamini tunamwona kila siku kwa matendo na miujiza yake.... Lakini huyu "UAMINIFU" haonekani kabisa... badala yake tunayaona kinyume chake kila wakati... Mkikaa kijiweni (kikundi cha watu) ushabiki utakaoendelea ni kinyume kabisa na uaminifu.....mh huwa napata wasiwasi kama konakali labda upo lakini umejificha wapi mbona yote tunayokutana nayo yanakatisha tamaa anyway ngoja niishie hapa
Nightangale of the Paradise
Wewe ni mwaminifu?
mapenzi ya kweli yapo, uaminifu upo, kuheshimiana kupo...! Haya yote yanategemea malezi na mkuzi ya muhusika.
NDIO lakini nayoona hayanipi picha ya upande wangu
Hakuna uaminifu kabisa siku hizi bwana tusidanganyane hapa
I dont knw if it is a song.....Hehehehe.....haya bana mweeeeee......
Ila ngoja niiwashe Zigmat 700.......
Btw, ain't that a Baha'i song? 🙂
NDIO lakini nayoona hayanipi picha ya upande wangu
Mapenzi ya kweli yapo, uaminifu upo, kuheshimiana kupo...! Haya yote yanategemea malezi na mkuzi ya muhusika.