Nisaidieni kuchagua jina la mtoto

Nisaidieni kuchagua jina la mtoto

Nazichukia fikra za kitumwa.
Mwite mwanao jina la babu wa baba yako au babu wa mama yako.

Au unadhani kabila lako au ukoo wako thamani yake haihusiani na kutambulika?
Kila mtu ana mtazamo wake mkuu,usilazimishe uaminilo kila mtu alifate.ungekua kiongozi ungekua mkatili sana kwa maneno yako ya ulazimishi
 
Usimwite Ethan, akija kusoma Chemistry wenzake watamtania Ethanol. Usimwite Cairo wenzske watakuja kumtania Misri . Kiufpi hapo hamna jina. Tafuta jina Mzuri. Kwanza before jina kwanza umuombee mkeo ashushe mzigo salama. Chagua jina hata babu yake anaweza liita
Aiseee umewaza mbali
 
Hayo majina hayafai kabisa...
Utapata laana.

Mpe haya hapa.
1. Nyerere
2. Sokoine
3. Kawawa
4. Mwinamila.
Kama unataka awe mcheza mpira muite
1. Zamoyini
2. Mwamba
3. Chumila
4. Lunyamila
5. Nteze
6. Malota
Vipi bill halina laana?
 
Nina majina matatu mkononi,sijui lipi nimuite kijacho wangu....wa kiume
Najua sauti ya wengi ni ya Mungu
1.Cairo
2.Liam
3.Ethan
Lipi nichague
Oyeah.
Ethan a.k.a EC3 km unaangalia mieleka huyu mtu ni maarufu sana ktk mieleka ya Canada (TNA), huko yupo John Impact, Albelto, Bob na wengine.
Mkuu mpe jina ambalo mtaani kwenu hata km watapatikana watakuwa 2 tu. Mm jina langu hakuna aliyekuwa anaitwa kuanzia shule ya msingi mpaka sekondary.
Mpe jina la The big red machine (Kane) au the monster among men(Strawuwman)
 
Kila mtu ana mtazamo wake mkuu,usilazimishe uaminilo kila mtu alifate.ungekua kiongozi ungekua mkatili sana kwa maneno yako ya ulazimishi
Kwanza sina mpango wa kumuongoza mtu.
Unamtizamo wa kilegevu na tepetevu sana.

Huna uhuru wa kuwa mjinga! Unapelekwa shule kwa lazima.

Unaipoteza fahari ya kijana wako mbele ya wenzie kwa kumuita majina yenye vinasaba vya upungufu wa nguvu za kiume.
CHANGE!
 
sawa bwana
 
Nina majina matatu mkononi,sijui lipi nimuite kijacho wangu....wa kiume
Najua sauti ya wengi ni ya Mungu
1.Cairo
2.Liam
3.Ethan
Lipi nichague
ushauri wangu, jua maana ya jina kwanza usiangalie uzuri majina mengine hayana maana nzuri,
 
Back
Top Bottom