Chrismoris
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 14,593
- 18,510
Aitwe Caliet.
Sa siumuite Egypt kabisa kuliko cairo??Nina majina matatu mkononi,sijui lipi nimuite kijacho wangu....wa kiume
Najua sauti ya wengi ni ya Mungu
1.Cairo
2.Liam
3.Ethan
Lipi nichague
Achana nayo mwite khalifaNina majina matatu mkononi,sijui lipi nimuite kijacho wangu....wa kiume
Najua sauti ya wengi ni ya Mungu
1.Cairo
2.Liam
3.Ethan
Lipi nichague
Muite hata melkiorysaranga nami nipate mrithi wa jina langu japo nje ya madaNina majina matatu mkononi,sijui lipi nimuite kijacho wangu....wa kiume
Najua sauti ya wengi ni ya Mungu
1.Cairo
2.Liam
3.Ethan
Lipi nichague
SawaPambana na Hali yako mkuu
hahaha mkuu utasema nimekufanyia sijui nini,punguza chukiWewe huna kwenu?
Ukoo wenu ni masikini wa majina! Mbona miafrika mnasifa za kuuzwa uzwa tu!?
Hayo majina ni ya kipumbavu.
Jina ni utambulisho! Sasa wewe unamuuza mwanao kibwegebwege namna hiyo.
Unakera sana.
Nakujua vizuri wewe mtaalam wa hiyo secta hahha upewe uenyekitiUngeomba ushauri mi nikuchagulie style za kumfaa shemej wakat wa msosi usiku
Sio libaya jina lako zuri tu,ila hayo hapo ndo machaguo yanguMuite hata melkiorysaranga nami nipate mrithi wa jina langu japo nje ya mada
Mimi mkristoUngetaja na imani yako kidogo ingekuwa vizuri.
Chagua hapo juuMuite Makinikia
Nazichukia fikra za kitumwa.hahaha mkuu utasema nimekufanyia sijui nini,punguza chuki