Mdomo wa Bata
Senior Member
- Nov 20, 2016
- 128
- 155
Achana nayo yote muite KIM JONG UN atakuwa kamanda majina mengine yanaweza mshawishi mtoto akawa legelege automatically.Nina majina matatu mkononi,sijui lipi nimuite kijacho wangu....wa kiume
Najua sauti ya wengi ni ya Mungu
1.Cairo
2.Liam
3.Ethan
Lipi nichague