Nisaidieni kazi jamani

Dec 22, 2011
26
1
Mamboz wana blogg!!

Jamani mie nimetafuta kazi hadi hamu inaisha...mimi nina advanced dip ya i.t ila natafuta kazi kwenye mashirika au n.g.o's.Juzi juzi tu nimeomba egpaf na nilikuwa nafuatilia ila receptionist kaniambia yani hiyo nafasi ni moja na zaidi ya barua 500 zimeshapokelewa...duh nilichoka maana hata mkoani am so ready to work.sio kawaida jinsia ya kike kukubali kufanya kazi mikoani ila mimi am ready jamani whoever has a lead just help out by replying me here.
 
mamboz wana blogg!!

Jamani mie nimetafuta kazi hadi hamu inaisha...mimi nina advanced dip ya i.t ila natafuta kazi kwenye mashirika au n.g.o's.juzi juzi tu nimeomba egpaf na nilikuwa nafuatilia ila receptionist kaniambia yani hiyo nafasi ni moja na zaidi ya barua 500 zimeshapokelewa...duh nilichoka maana hata mkoani am so ready to work.sio kawaida jinsia ya kike kukubali kufanya kazi mikoani ila mimi am ready jamani whoever has a lead just help out by replying me here.
tutafutane. UMEPATA.
 
marhabah!!!! ss dia unataka kwenda bush wapi I.T na kilimo kwanza.....najua hamu haiishi ila vichocheo hupungua....ushauri kajitolee kwenye kambi za mafuriko pale mchikichini naamini utagundua Town haondoki mtu, pili usichague kazi kwani I.T wengi siku hz wanaendesha boda boda........usipendelee kutegemea makutano ya miguu yako...
 
Mamboz wana blogg!!

Jamani mie nimetafuta kazi hadi hamu inaisha...mimi nina advanced dip ya i.t ila natafuta kazi kwenye mashirika au n.g.o's.Juzi juzi tu nimeomba egpaf na nilikuwa nafuatilia ila receptionist kaniambia yani hiyo nafasi ni moja na zaidi ya barua 500 zimeshapokelewa...duh nilichoka maana hata mkoani am so ready to work.sio kawaida jinsia ya kike kukubali kufanya kazi mikoani ila mimi am ready jamani whoever has a lead just help out by replying me here.

Cheruyi Wellingo wa airtel alisema kwenye marketers night out kwamba aliwahi kukosa kazi uniliver kenya kwa upuuzi kama huo ulio ufanya sasa yeye alienda kumuuliza mlinzi ati "nimekuja kuleta barua ya kazi" mlinzi akamwambia uliskia hapa kuna kazi? hakuna kazi ondoka..basi akaondoka..sasa receptionist ni nani mbaka akukatishe tamaa??? angekua HR ama head of ICT unit amekujibu hivo ni sawa..Usikate tamaaa...

Sasa wewe IT gani unashindwa kutofautisha kati ya Blog na website??? nna mashaka!
 
Mungu akijalia tukawa wazima ni PM mwishoni mwa February mwakani,kama utakuwa haujapata kazi kuna project fulani itahitaji watu wa taaluma yako na wala siutani,nataka usimulie siku moja kwamba jf ilikuwezesha kupata ajira na mie mwenyewe kazi niliyo nayo ni matunda ya jf
 
Acha kuogopa maisha ww..komaa bana, ebo..!!! I.T ndio kila kitu bana kama vipi anzisha kiofisi chako, jiajiri mwenyewe....ajira za kutuma maombi ya kazi hakuna siku hizi
 
Mh imefika wakati 2anze ku2ma maombi yakazi ikulu, ili uyu baba riz1 ajue wenye uchu na hela c watoto wake 2, au kama vipi masharti ya mabenki kwenye mikopo yapunguzwe kwa vijana!
 
Acha kuogopa maisha ww..komaa bana, ebo..!!! I.T ndio kila kitu bana kama vipi anzisha kiofisi chako, jiajiri mwenyewe....ajira za kutuma maombi ya kazi hakuna siku hizi
IT ina matawi mengi. kama una uwezo wa kutengeneza websites, simple databases, various Excel templates etc unaweza kupata market kwa sababu kuna watu walio na biashara ndogo wanatamani kupata simple computer databases na templates za kuwawezesha kuweka hesabu na records zao vizuri. So I believe ukikaa chini na kutafuta watu kuongea nao unaweza pata ideas za kufanya. fanya hivyo wakati unatafuta kazi ya kuajiriwa (maana it seems unataka kuajiriwa).
 
usikate tamaa,iko siku utasimulia ulivyokuwa unatafuta kazi na utakuwa unafariji wengine watakaokuwa wanatafuta kazi
 
Mh imefika wakati 2anze ku2ma maombi yakazi ikulu, ili uyu baba riz1 ajue wenye uchu na hela c watoto wake 2, au kama vipi masharti ya mabenki kwenye mikopo yapunguzwe kwa vijana!

Kwa kweli,ila sasa atasoma kweli barua zetu na safari zote alizo nazo huyu baba Rizi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom