Habari zenu wakuu!
Mimi ni kijana wa kiume nimemaliza chuo kikuu mwaka jana (2015) nina bachelor degree of science in food science and technology nimetafuta kazi sehemu mbalimbali mpaka sasa sijafanikiwa kwa lolote lile japokuwa niliitwa interview mara moja bahati mbaya sana sikufanikiwa kupata kazi.
Sasa hapa nilipo maisha yanazidi kuwa magumu sana kwangu sina makazi wala hata hela ya kula sina yani mpaka sasa nimeshakata tamaa na maisha kabisa.
Jamani yeyote yule mwenye kazi naomba anisaidie nipo tayari kufanya kazi yoyote ile iliyo halali ili niweze kupata hela ya kula pamoja na kueza kupanga chumba kwa kipindi hiki kigumu kwangu. Yaani nina elimu lakini maisha yameshanipiga chenga mpaka sasa nipo taabani kwenye dimbwi la ufukara yaani kula yangu imekuwa ya shida mno.
Nipo Dar es salaam namba zangu 0758 106 501 napatikana muda wowote.
Nisaidieni jamani naumia sana na haya maisha.