Nisaidieni jamani

Nisaidieni jamani

Joined
Dec 27, 2014
Posts
38
Reaction score
3
Habari wana Jf wenzangu. Mwenzenu nimefanya mapenzi na Dada mmoja ambae nimwanafunzi wa Form five tuli tumia Kondom lakini kweli ile Kondom haina mana ilitoboka bahati mbaya bilakujua na mimi nikajikuta nimesha mwaga ndani.

Sasa nisaidieni njia yoyote ili Mimba isiendelee kukuwa ni Siku ya pili leo toka tufanye mapenzi. Jamani naomba kama hutaki kuchangia usintukane .

asanteni.
 
siku ya pili mimba isiendelee kukua?

seriously?
 
hahahaaaa!!
pole kijana mwenzangu!

Nakumbuka na mimi ilishawahi kunikuta, tena na kibinti kama ulichosema!
ndom ilipasuka, lakini nilihisi ilipopasuka na yeye akashtuka mapema kabla sija score bao la kwanza...

Basi nika stop ile penalt aisee huku kipenga kishapulizwa!!....aaargh!!!!

nikamwaga nje immediately.....!!!

Next time uwe mwangalifu sana...

Nakushauri usubiri wiki moja kisha ukampime uone kama umeweza au umeshindwa kumpa mimba!:A S-eek:
 
wewe upo form ngapi? umejuaje kama ana mimba? siku ya pili inaendeleaje kukua? je ni mimba au shahawa zinaendelea? halafu kuwa na uandishi mzuri. kuhusu msaada mlete huyo uliyezini nae nimfanyie uchunguzi wa papuchi yake kwa kutumia kipimo cha abdalascope.
 
Kwa siku mbili tu huwezi kujua kama kanasa au hajanasa. Tulia tulia mpaka mzungo wake wa hedhi ufike, akiukosa basi mpeleke akapime. Mpaka kondom inapasuka inaonekana mapenzi yako ni ya nguvu nguvu sana.
 
kwi kwi kwi...... Sasa we ni Mtumwa wa Mungu yupi? Halafu mtoto wa form five unamuita dada mmoja!
 
Tafta dawa ya morning aftr pill.kama masaa 72 hayajapita.ka yashapita ni kaz bure.
 
Habari wana Jf wenzangu. Mwenzenu nimefanya mapenzi na Dada mmoja ambae nimwanafunzi wa Form five tuli tumia Kondom lakini kweli ile Kondom haina mana ilitoboka bahati mbaya bilakujua na mimi nikajikuta nimesha mwaga ndani.

Sasa nisaidieni njia yoyote ili Mimba isiendelee kukuwa ni Siku ya pili leo toka tufanye mapenzi. Jamani naomba kama hutaki kuchangia usintukane .

asanteni.

Acha kuwaharibia maisha watoto wa watu wewe, sasa wanawake wengine wasiokua wanafunzi huwaoni? Kama unapenda wanaosoma nenda vyuo vikuu mbona wapo kibao au hauko competent?

Any way nenda pharmacy nunua kidonge kimoja kinaitwa Primolut N.

Ameze kabla ya masaa 72 kuanzia mlipomaliza kusex kama yameshapita basi subiri kama alikua kwenye ovulation ngoja kova akutumie vikosi ukasaidie kulinda ajira ya jeshi la magereza
 
bado wareno hawajafika mji wa mimba wapo katikati tu hapo.. mtafute uwatoe faster au mwambie alale kiubavu wasifike haraka wafie njiani
 
Back
Top Bottom