Nisaidieni jaman sijui

Nisaidieni jaman sijui

Mwadui

Senior Member
Joined
Dec 17, 2010
Posts
102
Reaction score
2
Jaman wana Jf naomba mnisaidie jinsi ya KUBOLD TITLE iNANISHINDA
 
Hiyo post yenyewe umeibold! Kwani unataka bold ya namna gani?
 
duuu binafsi nashangaa au kuna bold ya automatic? maana mimi kila nikijaribu kubold nashindwa
 
Mbona hy heading iko blded tayari!!!

"Fungua MS office- word, nenda kwenye help itakupa option kuuliza unachotaka, utafanikiwa kumaliza jinsi ya kubold in MS OFICE" Good luck.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom